Marufuku ya kuuza chakula Ramadhani Zanzibar yaiponza Serikali, yatakiwa kulipa faini mfanyabiashara aliyefungiwa

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,818
18,808
Mfanyabiashara wa Zanzibar aitwaye Mbawala alikutwa na manispaa akinywa pombe mwezi wa Ramadhani na kukamatwa kisha kuamriwa kuifunga biashara yake na kunyang'anywa leseni

Mbawala baada ya kuifunga aliipeleka manispaa mahakamani na manispaa ikaamriwa kumlipa Mbawala milioni 37
Manispaa ikagoma kulipa, sasa Mbawala akaenda kubeba gari la manispaa

Sikiliza zaidi hapa



Chanzo: Jahazi, Clouds Fm
 
Hawakujiuliza hilo jina ni la wapi? Kwa akina Katembo,Mapunda,Komba!! Siyo watu wa mzahamzaha wale,ni ndugu za Chaka mzulu.
 
Back
Top Bottom