Marufuku wanaharakati kuhuduria mechi ya Simba na Yanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marufuku wanaharakati kuhuduria mechi ya Simba na Yanga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MBUFYA, Oct 28, 2011.

 1. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  akiongea na waandishi wa habari kova alitoa saababu za kupiga marufuku maandamano ya dowans kuwa ni pamoja na tishio la kuwepo kwa kikundi cha kigaidi cha alshabab, akapiga marufuku mikusanyiko yote mjini, mandishi mmoja akuauliza vipi hata mechi ya jmosi dar nayo haita kuwepo? mheshimiwa kova akajibu kuwa alshabab wanapenda kuwalenga wanaharakati,
  maoni yangu: waanaharakati, chonde msihudhurie mechi hiyo, mtalengwa na kusababisha maafa makubwa.
  nawasilisha
   
 2. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Busara hii inanipa shida kuielewa.
   
 3. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  kazi kweli kweli....! sasa sijui bora ni nini kufikira kwa kidolegumba cha mguu ama masaburi!
   
 4. Mmang'ati

  Mmang'ati Senior Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 185
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Sipati picha jamaa mkavu macho kayatoa mate yanamtoka wakati akijibu hilo swali.....Ningekuwepo nngemuuliza kuhusu issue ya Kampala inaelekea wanaharakati ndo walikuwa wanatizama ile mechi au haikuwa mechi yalikuwa majadiliano...
   
Loading...