singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
kweli kabisa imfikie hatua ya kutochanganya dini na siasa katika nyumba za ibada ili hata wale wanasiasa waliokuwa wanasema hii ni zamu ya walutheri au madhebu mengine waje kuona aibu 2020, hili lina afya kwa taifa letu.