Marufuku bunge kujadili sakata la escrow!!

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
6,489
2,000
Habari zilizopatikana hivi punde ni kuwa mahakama nchini imepiga marufuku mjadala wa account ya Escrow kutokana na kwamba mahakama bado haijatoa maamuzi, hivo basi hakuna mtu kujiuzuru au kuondoka madarakani hasa kwa wale walio waliokuwa wanashadidiwa wabanwe.
Wanajamvi kazi ipo hapo na hii ndo nchi yetu.

Source;
Breaking news Radio One.
 
LENGIO

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
1,092
1,250
Mahakama haina Nguvu zaidi ya bunge kipindi cha katiba wanaharakati walifungua kesi mahakamani.Mahakama wakadai hawana mamlaka ya kuingilia bunge.
 
Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,148
2,000
Tushajiamulia tangu zamani waache wafanye wajuavyo wenyewe. Ndio watazania waenda amani tulivyo
 
TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
6,489
2,000
Hivi hii mihimili miwili (mahaka& bunge) inaingiliana ktk utendaji kazi wake?

Bunge utunga sheria kisha mkuu wa kaya anasaini na baadaye mahakama ndiyo inasimamia sheria kupitia kwa wasomi wa sheria na wataalam waliobobea.
(Ngoja wajuzi wa mambo waje)
 
dansmith

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
2,309
2,000
Tushajiamulia tangu zamani waache wafanye wajuavyo wenyewe. Ndio watazania waenda amani tulivyo
Nitashangaaa sana kma bunge litakubaliana na huu upuuzi ninaousikia .wabunge wote bila kujali itikadi zenu wekeni tanzania mbele kumbukeni uchaguzi upo karibu tutawapima kwa hili
 
Manyerere Jackton

Verified Member
Dec 11, 2012
2,420
2,000

Ibara ya 100.-(1) Kutakuwa na uhuru wa mawazo, majadiliano na utaratibu katika Bunge na uhuru huo hautavunjwa wala kuhojiwa na chombo chochote katika Jamhuri ya Muungano, au katika
Mahakama au mahali penginepo nje ya Bunge.

(2) Bila ya kuathiri Katiba hii au masharti ya sheria nyingine yoyote inayohusika, Mbunge yeyote hatashtakiwa au kufunguliwa shauri la madai mahakamani kutokana na jambo lolote alilolisema
au kulifanya ndani ya Bunge au alilolileta Bungeni kwa njia ya maombi, muswada, hoja au vinginevyo.
 
bdo

JF-Expert Member
Nov 20, 2006
5,771
2,000

Ibara ya 100.-(1) Kutakuwa na uhuru wa mawazo, majadiliano na utaratibu katika Bunge na uhuru huo hautavunjwa wala kuhojiwa na chombo chochote katika Jamhuri ya Muungano, au katika[/FONT
Mahakama au mahali penginepo nje ya Bunge.

(2) Bila ya kuathiri Katiba hii au masharti ya sheria nyingine yoyote inayohusika, Mbunge yeyote hatashtakiwa au kufunguliwa shauri la madai mahakamani kutokana na jambo lolote alilolisema
au kulifanya ndani ya Bunge au alilolileta Bungeni awk njia ya maombi, muswada, hoja au vinginevyo.
mjadala utakuwepo na iwapo hautakuwepo basi tutajua wenyeji wetu wamewekwa sawa
 
Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,148
2,000
Nitashangaaa sana kma bunge litakubaliana na huu upuuzi ninaousikia .wabunge wote bila kujali itikadi zenu wekeni tanzania mbele kumbukeni uchaguzi upo karibu tutawapima kwa hili
ndugu yanngu tunonewa kwaajili ya upole/oaga ( u don't care) wetu. 321 bilions ambazo nikodi zetu znapotea kipumbavu! I pay more than 2M. In my monthly PAYE. My drnking habits of 3 beers on average daily makes me a larger tax payer as an individual.

Leo wapuuzi wanagawa hizi kodi tunawaangalia tu!!!!!!!! It will reach a point of no return sooon!!!
 
PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
4,923
2,000
Mahakama haina Nguvu zaidi ya bunge kipindi cha katiba wanaharakati walifungua kesi mahakamani.Mahakama wakadai hawana mamlaka ya kuingilia bunge.
hapo ndipo tunapotambua.undumila kuwili wa mahakama zetu.hamna haki mahaka hizi.mfumo mzima wa kimahakama unatakiwa kufumuliwa.
 
Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,473
2,000

Ibara ya 100.-(1) Kutakuwa na uhuru wa mawazo, majadiliano na utaratibu katika Bunge na uhuru huo hautavunjwa wala kuhojiwa na chombo chochote katika Jamhuri ya Muungano, au katika
Mahakama au mahali penginepo nje ya Bunge.

(2) Bila ya kuathiri Katiba hii au masharti ya sheria nyingine yoyote inayohusika, Mbunge yeyote hatashtakiwa au kufunguliwa shauri la madai mahakamani kutokana na jambo lolote alilolisema
au kulifanya ndani ya Bunge au alilolileta Bungeni kwa njia ya maombi, muswada, hoja au vinginevyo.
Swadakta apo umenena sasa hawa majaji hawana Katiba?Maana mimi kapuku niko nayo hii sheria mama ya JMT!
Alafu mkuu wa inchi yuko kimyaaaaaaaaaaaaaaaaa anyway labda kwa sababu ni mgonjwa
 
HARUFU

Platinum Member
Jan 21, 2014
28,284
2,000
Demokrasia iko wapi sasa?

Sasa wasiposhikia bango ugonjwa itawezakana vipi kuutokomeza.

Ndio maana uozo haushi kwa ajili ya kulindana, hapo kwa upande wangu naona watu wanataka kulindana ili wayamalize mambo kimya kimya
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom