marufuku binadamu yoyote kufanya mapenzi

tondoli

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
207
51
Ni mtazamo wangu, hebu naomba maoni yenu wake kwa waume, just imagine ikatokea leo kufanya ngono kati ya mwanaume na mwanamke kukapigwa marufuku, wewe binafsi unafikiri nani kati ya mwanamke na mwanaume atakuwa wa kwanza kuleta upinzani dhidi ya marufuku hiyooo???
 
Anza kwanza kwa kujipiga wewe marufuku kwa yule mchuchu wako, pia naye mpige marufuku...

Baada ya muda tuletee majibu hapa...
 
Ni mtazamo wangu, hebu naomba maoni yenu wake kwa waume, just imagine ikatokea leo kufanya ngono kati ya mwanaume na mwanamke kukapigwa marufuku, wewe binafsi unafikiri nani kati ya mwanamke na mwanaume atakuwa wa kwanza kuleta upinzani dhidi ya marufuku hiyooo???
Wewe naona unataka kuua biashara za watu,watakula wapi na serikali haina ajira za kuwapa? watu wanaishi through kutanua miguu daily
 
Haitakaa itokee...naona hata ugumu kuuchosha ubongo wangu kutafuta jibu...
 
Kwa jinsi unavyopenda kungonoka siyo?

Alaaniwe atakayeipiga ban K. K na msura mbaya lakini tamuu. Hata majogoo mtaani yanapigana sababu ya K.

K na iheshimiwe na watu wote. Asiyependa K, mngese.
 
Watu wengi wangeota ndoto nyevu nyingi sana na kusingekua na uzao-generation could exist
 
Kwa jinsi unavyopenda kungonoka siyo?

Alaaniwe atakayeipiga ban K. K na msura mbaya lakini tamuu. Hata majogoo mtaani yanapigana sababu ya K.

K na iheshimiwe na watu wote. Asiyependa K, mngese.

khaa! Baabuuu!! Wacha nijipitie
 
Back
Top Bottom