Marudio ya vipindi vya michezo kwenye tv

astranaut

JF-Expert Member
Jul 30, 2018
1,276
1,021
Kwanini azam tv kila siku mnatuwekea matudio ya mechi ambazo simba alishinda tu kwanini hamuweki ambazo alishindwa ili kama ni kufanya masahihisho tujue wapi tumefail.
Hizi mechi za kmataifa ilitakiwa mchanganye na ambazo alifungwa 5-0 ili tuone wapi tunakwama sio kila siku magoal ya nkana na simba au js soura na simba mbona supersport wanarudia match mara nyingi tu why nyie?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hilo halihitaji kujiuliza!!
Boss wa Azam tv na ndie huyo huyo mwenye kadi ya Uachama pale Simba. Unategemea nini???
Nani anapenda aibu zake azijue kila mtu???
 
Tena warudie yale magoli waliyonyimwa Yanga Tanga na singida marefa wakidai ni Offside mbona hawarudii au mi sikufatilia nini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom