fundiaminy
JF-Expert Member
- Jun 4, 2009
- 355
- 51
Kuna baadhi ya topics hapa kwa jokes zimewahi kukupa raha.naonelea badala ya kuzi repost nianzishe hii thread ili kujikumbusha na kuwapongeza waliochangia.mimi binafsi huwa kila nikisoma hii topic hubaki kujichekea pekeangu.big up mkuu Excellent popote ulipo.
Topic: Muongo akihadithia
Excellent 17:19 24th May 2011
jamaa mmoja muongo alikua
kijiweni anawahadithia watu
jinsi alivyokua akimkimbiza swala
porini akaishia kwamba "
nikamkamata nikamlaza chini"
ghafla kabla hajaendelea simu
yake ikaita akaenda pembeni
kupokea, washikaji wakawa
wanamsubiria kwa hamu ili
arudi aendelee, alivyorudi
akawauliza hivi niliishia wapi?
wakamwambia " umemkamata
ukamlaza chini" jamaa akasema
enheee, basi nikaanza kumvua
nguo taratiibu huku
nikimkumbatia na kumla
madenda, washkaji wakashtuka
na kuguna mmmh!! aaaaah! si
alikua swala? jamaa akshtuka
akasema aaaahaaa,
nimekumbuka nikaanza
kumchinja! washkaji hoiiiiiiii:
Topic: Muongo akihadithia
Excellent 17:19 24th May 2011
jamaa mmoja muongo alikua
kijiweni anawahadithia watu
jinsi alivyokua akimkimbiza swala
porini akaishia kwamba "
nikamkamata nikamlaza chini"
ghafla kabla hajaendelea simu
yake ikaita akaenda pembeni
kupokea, washikaji wakawa
wanamsubiria kwa hamu ili
arudi aendelee, alivyorudi
akawauliza hivi niliishia wapi?
wakamwambia " umemkamata
ukamlaza chini" jamaa akasema
enheee, basi nikaanza kumvua
nguo taratiibu huku
nikimkumbatia na kumla
madenda, washkaji wakashtuka
na kuguna mmmh!! aaaaah! si
alikua swala? jamaa akshtuka
akasema aaaahaaa,
nimekumbuka nikaanza
kumchinja! washkaji hoiiiiiiii: