Marudio ya mdahalo wa Dr. Slaa jana yaliishia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marudio ya mdahalo wa Dr. Slaa jana yaliishia wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gurtu, Oct 26, 2010.

 1. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2010
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Jana tulipata taarifa humu kwamba mdahalo wa Dr. Slaa ungerudiwa jana kuanzia saa 4:45 usiku. Ilikuwaje?
   
 2. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2010
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  aaaah ule mdahalo ulikuwa na nondo za kufa mtu hivyo isingekuwa rahisi watu kuuruhusu. kaka download kwenye youtube mzee mwanakijiji aliweka video clips fupi fupi.
   
 3. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,606
  Likes Received: 4,710
  Trophy Points: 280
  Mengi na IPP yake hawajatulia.
   
Loading...