Marubani wa ajali ya Ndege ya ATCL wanaitaji Kupewa pongezi

Hii ndiyo TZ, nidege mibovu, vifaa vya kuongozea-control towers vibovu, huduma za ndani ya ndege mbovu, viwanja mhh, customer service-usiseme, barabara - tangu alivyoondolewa ujenzi Dr Pombe, wamiliki na madereva wa mabasi - ajali haziishi, SIASA - NDIYO IMEOZA KABISA.

anayestahili zawadi ni yule atakayeongoza kurekebisha mfumo huu mbovu
marubani walifanya kazi yao kwani wangefanya uzembe hata wao wangekufa. Ni sawa na mtu yeyote anayetoa service za kuhudumia watu.
 
Back
Top Bottom