Martin Shigela Live Channel Ten | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Martin Shigela Live Channel Ten

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kapotolo, Mar 29, 2011.

 1. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Live Now.

  Anaeweza aangalie, sijui ataongea nini, natoa taarifa. Nawahi kibaruani.
   
 2. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  hana jipya jinga tuu,anasema wao wanafuata kanuni na wanajipanga kwa ajili ya uchaguzi wa 2012 ndani ya chama chao na 2015 wa taifa ,sijui kama uongozi wa UVCC kama utafika mwakani
   
 3. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Mkuu nimeipenda hiyo comment yako ya mwisho!! UVCCM wanatafuta umaarufu kwa njia mbovu.
   
 4. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Wao ni tume ya Uchaguzi!

  Mbona wanajipanga kwa kumwaga matusi na dharau kwa wazee wao hao ndio kujipanga kwa aina gani huko?
   
 5. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Shigela ni kijana mpumbavu. Kwani ni mtanzania gani asiyejua hilo?
   
 6. O

  Omumura JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Fisadi mkubwa huyo shigella, mavi yake!!
   
Loading...