Hahahaha maagizo toka juu!Sometimes kuna watu vichwa vyao havifanyi kazi, sababu ya Tanzania kutaka kuwa na mgombea wa kiti cha Speaker ni ipi wakati sio zamu yetu?..stupid
Wala sio kweli, kwasababu mjumbe mmoja alieleza kuwa mkutano mkuu wa CCM msimamo wake no kwamba hii ni zamu ya Rwanda, sio Tanzania, kwahiyo maamuzi ya kuweka mgombea speaker hayana baraka za chama na SerikaliHahahaha maagizo toka juu!
Kwa sababu ya uroho wa madaraka haaaahaaaaSometimes kuna watu vichwa vyao havifanyi kazi, sababu ya Tanzania kutaka kuwa na mgombea wa kiti cha Speaker ni ipi wakati sio zamu yetu?..stupid
Urafiki utaingia ukakasi kuanzia sasaHahahaha maagizo toka juu!
Sometimes kuna watu vichwa vyao havifanyi kazi, sababu ya Tanzania kutaka kuwa na mgombea wa kiti cha Speaker ni ipi wakati sio zamu yetu?..stupid
hivi hili bunge linatusaidia nini sisi watu wa afrika mashariki,embu nijuzeni wadau...
Sijui unaongea vitu gani,eti" hayana baraka ya chama na sweikali" real??Wala sio kweli, kwasababu mjumbe mmoja alieleza kuwa mkutano mkuu wa CCM msimamo wake no kwamba hii ni zamu ya Rwanda, sio Tanzania, kwahiyo maamuzi ya kuweka mgombea speaker hayana baraka za chama na Serikali
Kwa hivi sasa wananchi wa kawaida ni vigumu kuona umuhimu wa bunge hili kwasababu shughuli nyingi za kibunge zina husu serikali zilizo ndani ya jumiya, mfano kujenga ofisi moja mipakani, ujenzi wa reli na barabara za kuunganisha nchi wanachama nk. Lakini miaka michache ijayo wananchi wakawaida wataanza kuona umuhimu wa hichi chombo pale kitakapoanza kutunga sheria zinazo gusa maisha ya kila raia wa jumuiya. Vitu kama hati moja ya kusafiria, ufanyaji biashara kwa nchi zote wanachama, sarafu moja, elimu moja, siasa hata haki za msingi za kila raia wa jumuiya nk.
Ccm nao kumbe wanaweza kususia?
Hujajua tu?hivi hili bunge linatusaidia nini sisi watu wa afrika mashariki,embu nijuzeni wadau...