Martin Bashir on Albino saga in Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Martin Bashir on Albino saga in Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rev. Kishoka, Jan 2, 2009.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
 2. I

  Ilongo JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2009
  Joined: Feb 25, 2007
  Messages: 292
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  .... the whole society inclusive as well
   
 3. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2009
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu
  Hawasikii hawa watawala. Hili tatizo kwa sababu halizuii ubinafsishaji au wawekezaji, wahusika wanaona haliwahusu. Si umesikia (kwenye hotuba ya mwisho wa mwaka) hata Muungwana hajui tafsiri ya amani na utulivu? Yeye anasema bado vipo
   
 4. A

  Alpha JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2009
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Really sad.

  The protection of all Tanzanians should be a top priority. Once again our leaders have failed us and nobody has been held accountable.
   
 5. N

  Ntambaswala JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2009
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Jana nilikuwa naangalia kipindi cha TBC sijui kinaitwa ....This week perspective cha mzee Simbeye, nilisikitika sana jinsi wasomi wa kibongo, profesa Sam Maghimbi, Dr Lwaitama, Dr Mesack? na yule mbunge wa kuteuliwa Al Shaimaa John Kwegyir (ana shahada mbili?) jinsi walivyokuwa wanajadili suala la mauaji ya albino.

  Kwa kweli binafsi sikuona hoja madhubuti zilizokuwa zinatolewa na wasomi hao, ilikuwa ni kama unasikiliza watu wa wasio na elimu kubwa watu wa mitaani. Kuna yule Dr. Mesack kwanza alivyovaa tu uitachoka, utadhani ni afisa kilimo mstaafu amekuja Dar toka kijijini Nyikupiti kufuatilia pensheni yake. Hoja zake ni za hali ya chini sana kulinganisha na elimu yake. Kwa kweli aliniboa sana. Hivi wasomi wetu hawaangalii vipindi kama hivyo kwenye luninga kama CNN, SABC, BBC AL Jazeera n, waone jinsi wasomi wa viwango vyao wanavyokata issues. Usomi sio vyeti na titles tu bali pia ni uwezo wa kueleza, kutetea na kushawishi kwa watu wengine kile unachokijua.

  Kama unajijua huwezi kuongea(labda unaweza kuandika zaidi) ni bora usishiriki kwenye hizo talkshows kuliko kutuaibisha hivyo maana jana nilikuwa na rafiki yangu toka Ghana akasema panelists wako shallow sana.... nikasema hapana ni kwasababu issue yenyewe ya mauaji ya albino ni ngeni na inafanywa kwa siri sana ndio maana hawana takwimu na hoja nzito- lakini moyoni nikajisemea ndio yale yale......
   
 6. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2009
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,705
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Waliongea nini ambacho uliona ni pumba?
   
 7. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  I have the same question since I watched the said program!!!!!!
   
 8. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2009
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,087
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  I havent seen that programme, ila hiyo link hapo na comment ya Mhe. Al Shaimaa kwenye video imeniacha hoi. Of all people, she says she is satisfied. My foot!!
   
 9. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #9
  Jan 3, 2009
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu
  Mimi nilihisi labda mimi ndio nimekuwa mkaidi wa kuelewa. Ila nikajijibu, ubunge wa kupewa una mipaka yake. Huwezi kukata mkono unaokulisha...ila siasa mchezo wa hoooooooovyo kabisa ggggggggggrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!
   
 10. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #10
  Jan 3, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Yes, kwa kweli shame on them!Kiongozi anapolipa mil.20,000,000 kwa ajili ya kununua kichwa kimoja cha albino,kuna kazi tena?

   
 11. K

  Katibu Tarafa JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2009
  Joined: Feb 16, 2007
  Messages: 980
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Tatizo la watanzania ni mfumo wetu wa elimu na mazingira ndio unaotupa matatizo haya yote,tumekuwa tukisoma au kufundishwa ili kufaulu mitihani,na sio kuelewa nini tunapaswa kukijua zaidi ya kukariri.
   
 12. M

  Mtarajiwa JF-Expert Member

  #12
  Jan 4, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 440
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha na kutuaibisha sana watanzania manake kwa wenzetu hawa ambao wameshakuwa brainwashed kuhusu afrika na waafrika basi waafrika wote tunaonekana hatuna akili wanaposikia kuwa kuna watu wanadhani mfupa wa albino una mali.Wahusika kama mpo hapa JF acheni huu ujinga jamani,hakuna mali yoyote kwenye mfupa wa albino.
   
 13. M

  Mtarajiwa JF-Expert Member

  #13
  Jan 4, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 440
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ulitaka kusikia nini kutoka kwa huyo mama mkuu?Mwenyewe ni special seat ulitaka aanze tena kupondea serikali ya Kikwete?
   
 14. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2009
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Inasikitisha sana tena sana.
  Lakini tunaposema wazebe wazembe ni akina nani ni sisi sote wala sio serikali pekee sisi sote tukiwa polisi wa mwezako huu upumbavu hauwezi kudumu lakini tukisema hiyo ni kazi ya serikali basi huu ujinga utaendelea tena na tena.

  Mfano jana nimesikia pale Bagamoyo mama alimuuza albino yani mwanae wa kuzaa sasa hapa kiukweli serikali na mama yupi anayepeswa kutoa taarifa kuwepo kwa kuwindwa kwa albino? pengine tunailaumu tu serikali lakini na sisi wananchi ndio wakulaumiwa zaidi.

  Hizi mila zetu zingine ni upumbafu tu mimi nailaumu serikali kwa kuendelea kurushusu waganga wa kienyeji kutibu,huu ni upuuzi serikali wafuteni hawa waganga wa jadi wote iwe illegal kuendesha shughuri zozote za kiganga kwanza wengi ni wezi tu.vunja vunja vibuyu vyote hilizi choma moto.
  Na mtu yeyote atakayegundulika kaenda kwa mganga wa kienyeji kwa tiba yoyote apigwe jela miaka mijeledi juu pamoja na mganga wake.
   
Loading...