Msaada: Dojo ya martial arts maeneo ya Mwenge, Kijitonyama na Makumbsho

mkulungu mkuyengo

JF-Expert Member
Feb 5, 2015
786
564
Salaam,wadau nauliza maeneo ya Mwenge,K'nyama na Makumbusho kuna dojo ipi ya ukweli ya Shotokan Karate? nitashukuru pia kama nitapata jina la sensei anayehusika na contacts zake.
 
Wamemkamata Lissu sababu Magu fool pressure imepanda anaweweseka huku anamtaja Lissu. Wameona dawa wamkamate Lissu lkn kosa hana
 
Karate sihitaji wala kung fu dawa hii hapa pichani.

Ukiweka ugoko naweka hilo bomba la kutoka kwa Kim Un, ambalo hata Japan wameazima kutoka kwa USA ila kitu cha Kim Un, kimepita kama mwanga bila kuonekana.

Any way , kila la Heri katika kujifunza ila kumbuka tu, usinikunjie ngumi maana, ukinikunjia ngumi tu kitu ya kwenye picha itahusika juu yako.
 

Attachments

  • 387393.jpg
    387393.jpg
    8.2 KB · Views: 49
Back
Top Bottom