Mars: Nasa's Perseverance rover sends stunning images

Safi, umejuaje kama hapo ni NASA ?
Umekusudia kuandika NASA au Mars?
I am 100% sure you won't be convinced by any facts nitakazo kupa. Sababu ni zile zile ambazo zipo wazi, kurahisisha ni wewe useme kwanini hapo sio Mars.
 
Umekusudia kuandika NASA au Mars?
I am 100% sure you won't be convinced by any facts nitakazo kupa. Sababu ni zile zile ambazo zipo wazi, kurahisisha ni wewe useme kwanini hapo sio Mars.
Naam nimekusudia MARS.

sasa kwa mtindo huu hakuna haja ya mjadala sababu wewe hutaki kuniambia umejuaje kama hapo ni MARS.
 
Back
Top Bottom