Marry brown to open in Tanzania

mwanatanu

JF-Expert Member
Jan 22, 2008
851
127
Marrybrown to open in Tanzania

By ALICIA LIM

JOHOR BARU: Malaysian-owned franchise Marrybrown Fried Chicken Sdn Bhd will start its foray into East Africa this April with its first franchise outlet in Tanzania.

Marrybrown group managing director Nancy Liew said that the restaurant would be located in Donoma, the capital city of Tanzania.

"We plan to eventually have 10 outlets in Tanzania within five years.

"We are happy that the negotiations have been successfully concluded after many years," she said, adding that the company hoped to take its restaurants to more parts of the world.

According to Liew, each Marrybrown franchise in Tanzania would cost US$500,000 (RM1.6mil).

I am not against maendeleo yetu wabongo or globalization...nategemaea Marrybrown itatuletea ajira akina sisi walala hoi.

Swali langu kwa watu wa jikoni ni je ni kweli kuna ka 10% hapa kwa ndugu yaetu fisadi Mramba&Co au ni just rumours za wapika majungu?
 
wewe iweke na wenye dataz na wale wenye chuki tutawajua hapa.

maana kuna watu kila mradi wanaunasibisha na ufisadi.

hiyo ndio tanzania
 
Utandawazi unaendelea kuja tu! Mwisho na McDonald's nao tutawaona kule posta siku sio nyingi!
Yetu macho.
 
Due to globalisation, we will be LUCKY if all the jobs our kids will get will be sales clerks at these fast-food chains and a-la-Shoprite supermarkets!

Forget them working at CRDB!

LOL
 
hope vyakula pia vitakuwa sourced hapa hapa nchini sio kutuletea kuku wa brazil....
 
Investors wanakaribishwa Tanzania. Tunachotakiwa ni kuwabana wanasiasa wetu ili wahakikishe ajira na sehemu kubwa ya materials au vyakula vinanunuliwa hapo hapo Tanzania. Kama quality haitoshi basi serikali kwa kushirikiana na hao investors waendeshe mafunzo ya ku improve quality kwa gharama ya serikali. Baada ya muda mfupi pesa za serikali zitarudi kupitia kodi.

Hakuna haja ya kuagiza kila kitu toka nje au hata kuwa na wafanyakazi zaidi ya nusu kutoka nje huku vijana wetu hawana kazi. Hata hao mamanagers lazima kuwe na utaratibu wa kusomesha local staff ili baada ya miaka hata management za hayo makampuni ziwe mikononi mwa Wazawa.

Bila ya serikali kusimamia hili, hizo investments mpya zinazokuja, zitakuwa na manufaa kidogo sana kwa Mtanzania.
 
Back
Top Bottom