Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 66,989
- 173,603
Wengi wanaopinga dhana ya ndoa kuwa ni kuuza uhuru hasa ni haohao wazinzi na waasherati na wapenda anasa tu maana hawawezi ishi bila hayo mambo. Ama wanateseka kukaa katika principle mpya za kimaisha.Vipi kuhusu dhambi ya uasherati na kuzini ?
Je Mtu akiamua kutokuoa Au kutokuolewa atakuwa Mwaminifu kabisa bila kumkosea Mungu ktk kuzini /uasharati?
Mbona kuna vijana wametulia zao freshi tu. Hawana mambo mengi and they understand kwamba ndoa inataka utayari na utulivu kitabia ili iende sawa. Shida ni hio sasa kukutana wote mna similar thinking and attitude juu ya ndoa.
Lazma muwe kama socket na plug za kuendana. Ikitokea mmoja anajitia ujuaji sana basi ndoa lazima iwe chungu. Amani ya ndoa huletwa na wana ndoa wenyewe. Wengi wetu hatutaki kuwa responsible na ndoa zetu sikuhizi.