Mark x vs Nissan fuga battle.

Boeing 747

Boeing 747

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2018
Messages
1,215
Points
2,000
Boeing 747

Boeing 747

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2018
1,215 2,000
Unasema inaendeshwa na muoga aliekuwa nayo yuko nae kwenye bongo racing na ni memba mwenzangu wa drag race
Anyway, labda....ila nafahamu Fuga au Crown harrier inachuchumaa....kigezo pia cha muundo..
Kwa speed harrier huwezi kuoata balance ya fuga au crown
 
msukuma fekero

msukuma fekero

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Messages
905
Points
1,000
msukuma fekero

msukuma fekero

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2017
905 1,000
Anyway, labda....ila nafahamu Fuga au Crown harrier inachuchumaa....kigezo pia cha muundo..
Kwa speed harrier huwezi kuoata balance ya fuga au crown
usimchukulie kwa umakini anachangamsha genge tu huyo
 
FRANCIS DA DON

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Messages
15,985
Points
2,000
FRANCIS DA DON

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2013
15,985 2,000
Toyota Mark x si class ya nissan fuga...

Toyota Mark x kwa Nissan skyline

Toyota Athlete Crown kwa Nissan Fuga..

Hapo ndiyo sawa
Hiyo Crown unainyanyasa bure tu, toa hapo weka mnyama.
 
LexPaulsen

LexPaulsen

Member
Joined
Jul 30, 2018
Messages
90
Points
150
LexPaulsen

LexPaulsen

Member
Joined Jul 30, 2018
90 150
Una maanisha crown inachuchumaa kwa Fuga...?
Naiheshimu sana Crown especially the look, ila bila kuwa na bias ukicompare hizi mbili zenye same engine displacement mfano 2.5L na za mwaka sawa, Fuga iko loaded zaidi in terms of power, safety na luxury features.

Crown hpa TZ ni nyingi kwa sababu ya dominancy ya Toyota. Otherwise Nissan Fuga sio gar ya mchezo mchezo, America na Ulaya wanaifahamu kma Infiniti M Series.
 
Boeing 747

Boeing 747

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2018
Messages
1,215
Points
2,000
Boeing 747

Boeing 747

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2018
1,215 2,000
Naiheshimu sana Crown especially the look, ila bila kuwa na bias ukicompare hizi mbili zenye same engine displacement mfano 2.5L na za mwaka sawa, Fuga iko loaded zaidi in terms of power, safety na luxury features.

Crown hpa TZ ni nyingi kwa sababu ya dominancy ya Toyota. Otherwise Nissan Fuga sio gar ya mchezo mchezo, America na Ulaya wanaifahamu kma Infiniti M Series.
Well said
 
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
8,312
Points
2,000
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
8,312 2,000
Unasema inaendeshwa na muoga aliekuwa nayo yuko nae kwenye bongo racing na ni memba mwenzangu wa drag race
Blaza wewe inaonekana hauna unachokijua unaambiwa hivi hio Harrier unayoisema haipo class moja na Fuga Harrier ipo class moja na Nissan Murano...au hujui magari wewe...?
 
Boeing 747

Boeing 747

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2018
Messages
1,215
Points
2,000
Boeing 747

Boeing 747

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2018
1,215 2,000
Blaza wewe inaonekana hauna unachokijua unaambiwa hivi hio Harrier unayoisema haipo class moja na Fuga Harrier ipo class moja na Nissan Murano...au hujui magari wewe...?
Umejaribu kumuelewesha vizuri...
Labda tu niongezee ili aelimike zaidi...

Nissan and Toyota counterparts

Nissan fuga..Toyota Crown
Nissan skyline/tean...Markx /Brevis
Nissan Patrol...Toyota Land Cruiser Vx
Nissan Elgrand...Toyota Alphad
Nissan Serena...Toyota Noah/Vox
Nissan Murano..Toyota Harrier
Nissan March/Micra...Vitz
Nissa Hardboard...Toyota Hilux
Nissan Caravan...Toyota Hiace
Nissan AD van....Toyota Probox
Nissan x trail...Toyota clugger/rav4
Nissan Tiida/Juke/Note...Toyota IST/Run x/Spacio

Na mengine meeeeengi......muda hautoshi..

Sasa itakuwa ni ulevi mfano unachukua Nissan Serena unailinganisha na IST..
 
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
8,312
Points
2,000
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
8,312 2,000
Umejaribu kumuelewesha vizuri...
Labda tu niongezee ili aelimike zaidi...

Nissan and Toyota counterparts

Nissan fuga..Toyota Crown
Nissan skyline/tean...Markx /Brevis
Nissan Patrol...Toyota Land Cruiser Vx
Nissan Elgrand...Toyota Alphad
Nissan Serena...Toyota Noah/Vox
Nissan Murano..Toyota Harrier
Nissan March/Micra...Vitz
Nissa Hardboard...Toyota Hilux

Na mengine meengi...
Sasa itakuwa ni ulevi mfano unachukua Nissan Serena unailinganisha na IST..
Ngoja niongezee
Nissan X Trail na Toyota Rav 4
Toyota Harrier, Nissan Murano, Mitsubishi Outlander
 
Forum statistics

Threads 1,324,577
Members 508,741
Posts 32,166,721
Top