Mark x vs Nissan fuga battle.

BabaMorgan

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Messages
813
Points
1,000
BabaMorgan

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2017
813 1,000
Toyota Mark x si class ya nissan fuga...

Toyota Mark x kwa Nissan skyline

Toyota Athlete Crown kwa Nissan Fuga..

Hapo ndiyo sawa
Shukran kwa kunielewesha sie wengine wageni kwenye mambo hayo ila hata kwa muonekana fuga ni habari ingine.
 
oyieko

oyieko

Senior Member
Joined
Dec 31, 2015
Messages
167
Points
250
oyieko

oyieko

Senior Member
Joined Dec 31, 2015
167 250
Uzi tayari.
Sasa fuga nayo gari nyie mnacheza nyie fuga 250 markx 250 fuga cc 2400 mark x cc2500 hp ya fuga ni ndogo sana kwa hp ya the x labda useme majesta na the x ndo ntasema x aina kitu sabab majesta ni cc 4600
 
oyieko

oyieko

Senior Member
Joined
Dec 31, 2015
Messages
167
Points
250
oyieko

oyieko

Senior Member
Joined Dec 31, 2015
167 250
Toyota Mark x si class ya nissan fuga...

Toyota Mark x kwa Nissan skyline

Toyota Athlete Crown kwa Nissan Fuga..

Hapo ndiyo sawa
Fuga inakalishwa na haria fuga ukubwa wa body tuu ila gear box nyepesiiii naongea maana nshatembeza haria 180 na fuga 180 tulikwenda sambamba na baadae nikaipoteza
 
oyieko

oyieko

Senior Member
Joined
Dec 31, 2015
Messages
167
Points
250
oyieko

oyieko

Senior Member
Joined Dec 31, 2015
167 250
Fuga mnyama sana kumpambanisha na Mark X ni kumuonea tu..

Kibongo bongo wanaziogopa gari za Nissan sababu ya spare parts tu ndio maana Toyota zina wafuasi wengi..
Angalia kwanza specs za fuga na the x af utoe maoni tena mkuu
 
Boeing 747

Boeing 747

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2018
Messages
1,215
Points
2,000
Boeing 747

Boeing 747

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2018
1,215 2,000
Inawezekana hiyo fuga ilikuwa inaendeshwa na dereva muoga...
ile gari ina injini moja matata sana VQ35 3.5L....weka mbali na watoto

Mwisho wa siku hapa wanalinganisha fuga na mark x...
Hiyo harrier mwenzake ni Murano ...Noah/Voxy kwa Serena... Alphard kwa Elgrand.... Hiace kwa.... Caravan/Hommy respectively..
Fuga inakalishwa na haria fuga ukubwa wa body tuu ila gear box nyepesiiii naongea maana nshatembeza haria 180 na fuga 180 tulikwenda sambamba na baadae nikaipoteza
 
oyieko

oyieko

Senior Member
Joined
Dec 31, 2015
Messages
167
Points
250
oyieko

oyieko

Senior Member
Joined Dec 31, 2015
167 250
Inawezekana hiyo fuga ilikuwa inaendeshwa na dereva muoga...
ile gari ina injini moja matata sana VQ35 3.5L....weka mbali na watoto

Mwisho wa siku hapa wanalinganisha fuga na mark x...
Hiyo harrier mwenzake ni Murano ...Noah/Voxy kwa Serena... Alphard kwa Elgrand.... Hiace kwa.... Caravan/Hommy respectively..
Unasema inaendeshwa na muoga aliekuwa nayo yuko nae kwenye bongo racing na ni memba mwenzangu wa drag race
 
Forum statistics

Threads 1,324,583
Members 508,741
Posts 32,167,014
Top