Mark ii gx 100 inasumbua kuwaka asubuhi

Badilisha Thermostat au ua system yake. Hiyo inatumika nchi za baridi sana. Itakusumbua sana. Ina engine ya Vvti/1G?
ACHA UONGO .mnaharibu sana magari ya watu na jee unafaham kazi ya thermoster kwenye gari?? na unafaham madhara yanayoweza letwa na kutolewa kwake?? gari za kisasa hazitaki magumashi mkuu wala ujanja ujanja kuna gari nyingine ukitoa tuu thermoster bumeiloga gia haibadili ipasavyo na ulaji wa mafuta huwa unaongezeka sanaaa
 
nami mark 2 yangu ina ugonjwa huo nishapeleka kwa mafundi ila wakaniharibia zaidi kwa sasa nimeizoea tu, plug na kelele zingine wanazosema wadau nimeisha badili ila bado kuiwasha kwa raha hua ni jua likiwaka
uko wapi mkuu kama upo dar tutafutane.mambo mengine ni rahisi sana but mnacomplicate
 
Sawa mkuu nimekuelewa peleka gari garage halafu wakukagulie ignition system vipuri kama distributor, rotor, spark plug wires na spark plugs ili wajue tatizo liko wapi. Huo ugonjwa husababisha na ubovu wa system hiyo.
Mkui ikishaawaka asubuhi baadae ukipiga ni jino koja hata kama uliizima masaa sita inasumbua asubuhi tu.
 
Wakuu nimefanikiwa kuiuza hii gari so sina tena mawazo na next week nachukua kitu cha runx
 
si uzi gx mia yangu. ndio ninayoipenda kuliko zenu mnazo zipenda.
nakwenda kokote na wakati wowote speed ndio pake sina tatizo na balance ya gari kama hizo zenu.
potelea mbali hata kama mkisema nnapitwa na vipya ila bado nipo nipo kwa mark II gx 100
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom