Mark Finley Afanya Maajabu Mwanza, Abatiza Watu Zaidi Ya 1,000 Ziwa Victoria

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau
Leo Jijini Mwanza Watu zaidi ya 1,000 wamebatizwa huko Mwanza katika Mikutano ya Ufunuo wa Matumaini inayoendelea katika Viwanja vya CCM Kirumba Mwanza na inaendeshwa na Kanisa la Wasabato wakiongozwa na Mchungaji wa Kimataifa kutoka Marekani Dr Mark Finley
Mikutano hiyo itaendelea hadi Jumamosi ya Wiki ijayo na inaonyeshwa Live kupitia Kingamuzi cha Ting na Continental kila Siku kuanzia saa 11 jioni.
Mbarikiwe sana
 
Amina. Bwana apewe sifa. Kwa Yesu kila goti litapigwa.
 
Back
Top Bottom