Mark 2 grands kutumia kwa baishara ya bolt

MshikjiFlaniHivii

Senior Member
Feb 12, 2020
118
338
Ndugu zangu, nataka nitumie mark 2 grands kama bolt... Nimeshawah kutana na mtu anatumia brevis bolt, nimeomba ushaur kwa wengine wanasita, wanasema itani cost.. Kwa sasa sina gari ingine ndo hii. Na ni ya bure sipeleki hesabu ni mim na service... Naomba ushauri.
FB_IMG_1621275269194.jpg
 
Ndugu zangu, nataka nitumie mark 2 grands kama bolt... Nimeshawah kutana na mtu anatumia brevis bolt, nimeomba ushaur kwa wengine wanasita, wanasema itani cost.. Kwa sasa sina gari ingine ndo hii. Na ni ya bure sipeleki hesabu ni mim na service... Naomba ushauri.View attachment 2262401
Funga system ya gas mkuu, vinginevyo fuel consumption na bei ya mafuta ya sasa sidhani kama utapata faida zaidi ya hasara.
 
Ndugu zangu, nataka nitumie mark 2 grands kama bolt... Nimeshawah kutana na mtu anatumia brevis bolt, nimeomba ushaur kwa wengine wanasita, wanasema itani cost.. Kwa sasa sina gari ingine ndo hii. Na ni ya bure sipeleki hesabu ni mim na service... Naomba ushauri.View attachment 2262401
kama unataka kufanya bolt iuze hyo gar yako upate gari ndogo maana kwa contion yake hukos mpka 6.5 kama ni no c then uchukje gari ndogo.

hyo ukifanhia bolt safari ya 10k wewe unamaliza mafuta ya 20k na deni juu la bolt
 
Back
Top Bottom