NewDawnTz
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,667
- 362
Siku hizi tofauti sana na siku za nyuma, ni rahisi sana kusikia mtu na mwenza wake wameachana. Be it kwenye ndoa au wale ambao wako kwenye mahusiano kuelekea kwenye ndoa.
Kwa mfano kwa muda wa miezi mi-wili iliyopita nimeshuhudia almost 5 friends of mine waliokuwa kwenye uhusiano kuachana na wenza wao na ndoa kama mbili ambazo moja Mwanaume kaamua ku-walk out na nyingine ni mwanamke ndio kaamua.
Haya yamenifanya nijiulize maswali mengi sana kichwani mwangu. May be i can get some help
(i) Kwanini mahusiano yanavunjika??? Ladies, what makes you reach a decision to break your marriage/relations and men what makes you do so???
(ii) Is there any thing like irreparable relation? (uhusiano usiotengenezeka) and why the relation to reach such a point given that you entered it with sound mind and good will and with a "untill-death-do-us-part' love??
(ii) Je wanaovunja mahusiano wakiwa ndani ya ndoa kwa sababu yoyote, ni kweli kwamba hawakuiona hapo awali na kuamua kabla ya kuolewa?? Au walidhani wakishaolewa/oa wenza wao watajirekebisha?? Au ni kuficha makucha???
(iii) Tunasikia kuziba ufa kwafaa kuliko kujenga ukuta, je kuna dalili zozote za 'marital discontent' au sababu yoyote ya kuelekea kuvunja uhusiano na ni tahadhari gani ichukuliwe na pande zote mbili ku-rescue hali na kuendeleza uhusiano??
Note: Nitashukuru kwa faida ya kujifunza, Ladies mkatusaidia kujua dalili kwa upande wenu na men tukaweka kwa upande wetu ili tujifunze kusawazisha mambo kabla hayajachelewa.
Ninachofahamu ni kwamba, kutofautiana ni kupo na kutaendelea kuwepo (labda kama nakosea kudhani hivi), lakini tujue sababu na misingi kisha tupate na dawa ya kusaidia kuweka mambo sawa
Tupeane elimu hii jamani ili ku-rescue relations na kupunguza 'walk-out' zisizo za msingi.