Marion Jones what a price? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marion Jones what a price?

Discussion in 'Entertainment' started by Dua, Oct 10, 2007.

 1. Dua

  Dua JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2007
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 2,481
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Jones Surrenders Olympic Medals  [​IMG]

  Marion Jones was one of the most accomplished athletes in the world when she won five medals at the Sydney Olympics in 2000. On Monday, she gave up those medals as part of her punishment for cheating with drugs.


  [​IMG]

  Jones recently pleaded guilty in New York to lying to federal agents about her steroid use.


  [​IMG]

  Outside the courthouse on Oct. 5, Jones broke down in tears as she apologized for her actions and announced her retirement following her guilty plea. "I have let my country down, and I have let myself down," she said.


  [​IMG]

  Here, Jones celebrates as she wins the 100-meter gold medal at the 2000 Games in Sydney, Australia. She faces up to six months in jail time for three counts of lying to federal agents about using steroids.


  [​IMG]

  Jones, here at the 2004 Olympics in Athens, Greece, was also remorseful to friends and family. "I want to apologize for all of this. I am sorry for disappointing you all in so many ways," she wrote in a letter.


  [​IMG]

  Jones said her former coach Trevor Graham, right, supplied her with the designer steroid "the clear" for two years, The New York Times reported.


  [​IMG]

  Jones, who is now reportedly broke, was one of the first female track stars to earn millions. She typically earned $80,000 per race during her prime in addition to her endorsement deals.


  [​IMG]

  The trouble started for Jones back in 2003, when she, boyfriend Tim Montgomery, right, and a host of other top athletes were connected to the BALCO drug controversy.


  [​IMG]

  In December 2004, Victor Conte, the founder of BALCO, appeared in an interview on ABC's "20/20" and said that he gave Jones five different illegal performance-enhancing drugs before the 2000 Olympics.


  [​IMG]

  At the USA Track and Field Championships in 2006, a sample of Jones' urine tested positive for a banned substance. Jones was later cleared when a backup sample tested negative.
  Source: AP, New York Times, Wikipedia
  Who will be next I wonder?
   
 2. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  It hurts, but again that is the price you pay... See you in six months pretty!

  Source: Stuff.co.nz


  SteveD.
   
 3. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  A gigantic lesson for young athletes. Millions of us were swept away with her lovely smile, charisma and amazing performance in 2000 olympics. The memories of me and my sisters cheering her up on the telly every time she was on the truck are still fresh in my head, I wish I knew the truth by then, I cant believe it was all 'cheating'!
  But why did it take so long for her to be convicted?
   
 4. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2008
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Kwa vile ameconfess- na kulia machozi- this is a remorse- nimemlaumu na kisha nikamwonea huruma

  Wamesamehe -tu wasimfunge!
   
 5. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Kwa kwenda jela, pengine itakuwa ni funzo kwa wanariadha wengine...
   
 6. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Nimesahau kuwa jela za US ni kajimini holiday! Adhabu hii ingekua fundisho kwa wanariadha wa kiafrika ambako jela zetu ni mateso na sio huko kwa walami. Wangempiga na fine nzito and community service on top, jela imemsaidia sana to escape from the world, haswa kwa muda huu ambao mapaparazi wangekuwa wakimwandama kila kona.
   
 7. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145

  Kana-Ka-Nsungu, mbona unanichanganya kwa maandishi yako hapo juu... je, kuna mwanariadha yoyote wa Kiafrika ambaye amewahi kamatwa aki-cheat kwe kutumia madawa katika mbio?!

  SteveD.
   
 8. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #8
  Jan 12, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kana-Ka-Nsungu, kutokana na kile ulicho kisema hapo juu, kuna wazo miye limenijia kichwani:


  -Je, wanariadha wetu (Wakiafrika) wakitumia vyakula vyetu halisi ambavyo vingi ni natural extracts za hayo madawa ya western, wanahesabika kuwa wametumia madawa au?!

  -Je, mitishamba yenye kuongeza pumzi na nguvu katika mbio ina hesabika kama madawa?


  SteveD.
   
 9. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #9
  Jan 12, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Simaanishi kwamba kuna mwanariadha wa kiafrika amekamatwa kwa kutumia madawa, ninachosema hapa ni kwamba utamu wa adhabu hiyo kwa Marion ungenoga kama ingekua anafungwa jela za Afrika. Hapo najua atatumia 2 or 3 months then atakua out!
   
 10. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #10
  Jan 12, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  Sura ikikaza sana kama hapo juu ni dalili tosha ya utumiaji wa madawa. Hapo ukimaliza tu kukimbia lazima maofisa wa madawa wakuite kando...
   
 11. Tanzania 1

  Tanzania 1 Senior Member

  #11
  Jan 12, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 197
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hata nami nakubaliana nawe. Tena akiitumia vizuri hiyo "escape" itamnufaisha sana. Fikiria, kwa mfano, uko mbali na shughuli za kila siku. Una mahitaji yote muhimu ya msingi, na access ya publications, nk. Unafikiri utafanya nini?

  Hivi Michael Johnson alitumikia kifungo? Sikumbuki!

  N.B.: Hebu angalieni tena vizuri hiyo picha aliyoi-post SteveD. Kumbe ndio maana baadhi ya hawa watu maarufu hawapendi close-up photos.
   
 12. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #12
  Jan 12, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Kama unamzungumzia yule bingwa wa mita 200 na 400 wa marekani, basi hajawahi kufungwa kwa kutumia madawa. Rekodi yake katika riadha ipo safi kabisa na sasa amestaafu kufukuza upepo.
   
 13. Tanzania 1

  Tanzania 1 Senior Member

  #13
  Jan 12, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 197
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Samahani, nimechanganya! Yule wa Canada ambaye alipokonywa medali; jina lake limenitoka.
   
 14. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #14
  Jan 12, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  Ni Ben Johnson pichani hapo juu akishinda mashindano ya olimpiki mita 100
   
 15. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #15
  Jan 12, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Ni vigumu kukuta traces za hizo banned substances kwenye food items, nyingi zinapatikana kwenye madawa- legal and illegal. Kuna jamaa mmoja anaitwa Linford Christie alifail drug test lakini baadae ikaja gundulika kuwa alikunywa herbal tea na wakamsamehe. In general, siku hizi athletes wanashauriwa kula vyakula ambavyo wanajua ingredients zake, there is no excuse.
   
Loading...