MARIO BALO-GOALS..... WAZUNGU WATAIKUBALI TU BLACK...!! proudly african | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MARIO BALO-GOALS..... WAZUNGU WATAIKUBALI TU BLACK...!! proudly african

Discussion in 'Jamii Photos' started by stineriga, Jun 29, 2012.

 1. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  [​IMG]

  Wa-ITALY NA UBAGUZI WAO KWA MARA YA KWANZA WALIMCHEZA MTU MWEUSI KWENYE NATIONAL TEAM YAO, NA AMEWABEBA HAWATASAHAU... THEY GOT RESPECT NOW..!!

  WAJERUMANI NA UBAGUZI WAO JANA WALICHOFANYWA NA MTU MWEUSI HAWATASAHAu HIZO KUMBUKUMBU...!!

  proudly african
   
 2. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ndio maana Baloteli haachi kufanya vibweka kila akiingia uwanjani.
  Jana sikuona wakimziba mdomo, sijui ni kwa sababu alianza tofauti na mechi dhidi ya Ireland aliyotokea bench, baada ya kufunga goli akawa anabwabwaja hadi mchezaji mwenzake akaamua kumziba mdomo.
   
 3. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Wataisoma tu, na kwa jeuri kocha akampumzisha baada ya dk 45 ili ajiandae kuwatungua Spain.
   
 4. M

  Michael kasebele Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  amenikosha sana balloteli kainyanyua ngozi nyeusi.nyeusi stant upppp...
   
 5. sister

  sister JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,028
  Likes Received: 3,940
  Trophy Points: 280
  jana fully raha.................kitu balotelliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
   
 6. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  nilikuwa nataka amuache apige nyingine 2 kwenye kipindi cha pili...wahispania na wenyewe wataisoma.... MARIO BALO-GOALS lazima awalize...!!!
   
 7. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  wazungu wataikubali tu black hata kama hawatakiii....

  [​IMG]
   
 8. sister

  sister JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,028
  Likes Received: 3,940
  Trophy Points: 280
  wameshamkubali sema tu hawataki kuliweka wazi hilo.................ila kimoyo moyo wanamkubali balaaaa.
   
 9. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
 10. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Uko sahihi,wangemuacha angeweza kuongeza nyingine kama 3 hivi,maana kipindi cha pili Italia wamekosa magoli kama matatu ambayo nina uhakika kama angekuwa amesimama huyu mlume basi Ujerumani wangemsimulia mweusi huyu milele..
   
 11. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Wacha weee!!!!!. Kwa nini usiseme "sister" kama umemzimia Balogoaal?. Kama uko full kumzimia ni PM nikuunganishe.
   
 12. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kama mweusi mwenzangu ninajivunia na anakubalika popote,anapaswa awe mchezaji bora katika EURO2012, lakini linapokuja timu za taifa, kwangu yeye ni Muitaliano kama akina Pirlo, na kwa hilo niko pamoja na Spain "hata kama Super Mario atatufunga 5-0.
  Ninawakribisha jukwaa la Michezo Jumapili saa nne kasorobo (20:45). Kipenga cha mwisho ndio mwamuzi.
   
 13. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #13
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Lakini amejariwa sura ati...
   
 14. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #14
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Asante baba umetukaribisha tutahudhuria, ila usikimbie tu maana usipoanzisha thredi mimi nitaanzisha..
   
 15. sister

  sister JF-Expert Member

  #15
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,028
  Likes Received: 3,940
  Trophy Points: 280
  hahahah............uchizi wa balotelli ndo unaniachaga hoi na jana nilipenda washinde na wakashinda kweli ndo furaha yangu mkuu.
   
 16. sister

  sister JF-Expert Member

  #16
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,028
  Likes Received: 3,940
  Trophy Points: 280
  sura haifungi magori mkuu.........
   
 17. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #17
  Jun 29, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Forza the azzuri, niko happy mnoo wajerumani bye!!!
   
 18. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #18
  Jun 29, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wacha awachape bana ndo wajue NGUVU ZA KING KONG! Ha ha haaaaaaaaa raha sana!
   
 19. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #19
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Tayari thread ya EURO 2012 ipo, hakuna haja ya kuanzisha nyengine. Muhimu ni kuhudhuria tu.
   
 20. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #20
  Jun 29, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Balloteeeeeeeeeeeeeeliiiiiiiiiiiiiiiiii safi sana bado Spain.
   
Loading...