Mario balloteli ni memba wa kundi la mafia.!

mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,212
867
Mcheza kabumbu mwenye kipaji cha hali ya juu na vibweka visivyoisha uwanjani na nje ya uwanja raia wa Utaliano super mario ballotell anatarajiwa kuhojiwa na polisi ya italia kufuatia Mchezaji huyo kupigwa picha katika mji wa Napoli nchini italia , kitovu cha kundi la Mafia ambapo alipokewa kwa shangwe na Wahuni hao wa mafia. Kwa mujibu wb BBC swahili leo jioni, balloteli aliambatana na baadhi ya wachezaji wenzake wa timu ya taifa ya italia. Akizungumzia sakata hilo, balloteli mwenyewe amesema yuko tayari kuhojiwa na polisi.
 
Nadhani hii habari inaleta maana. Zile fujo za Balotelli huwa zinapangwa kabla na wacheza kamari. Mara nyingi amekuwa akijitafutia kadi nyekundu kwa makusudi kabisa.
 
Back
Top Bottom