Mario Balloteli Challenge All African Footballers

Neter

JF-Expert Member
Dec 30, 2011
569
500


Mario Balloteli, Want to Go Back Home, Challenge All African Footballers


EXxKARZWsAcQCr8.jpeg
 

Cvez

JF-Expert Member
May 19, 2018
2,476
2,000
Inawezekana kabisa wakiamua changamoto ni wenzake sidhani kama watakua tayari..
 

Saguda47

JF-Expert Member
May 1, 2016
9,515
2,000
Maslahi ndiyo tatizo, you can be a very talented player but what matters is earnings!

Wazo zuri ila hatuwezi kwa sababu nchi zetu masikini kuanzia kichwani mpaka tumboni.
 

permanides

JF-Expert Member
May 18, 2013
6,724
2,000
Ni aheri hilo wazo liishie huko huko, hajajua ubaguzi uliopo Afrika. Diata baada ya kuifunga taifa stars aliandamwa sana, nadhani ilibidi kumpa nafasi ya kutembelea Serengeti bila malipo ili kuonyesha mshikamano.
 

chilonge

JF-Expert Member
Dec 23, 2014
984
1,000
Alipokuwa kwenye kiwango cha juu hakuwahi kutoa mawazo hayo..! Huyu ni mufilisi kwenye kabumbu ndio maana ana mtazamo huo.
 

kenge 10

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
1,192
2,000
Wale waarabu wa North Africa walikaza now days wameachia wapo wengi tu Ulaya itakua sisi wamatumbi
 

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,036
2,000
Hiyo jeuri ya pesa amepewa huko huko ubeberuni. Keshashiba anataka wenzake wasiuze vipaji kwa wanaolipa vizuri. Shithole
Huyu jamaa si ndio alikataa kuchagua timu ya Taifa ya Ghana kwenye World Cup 2010, Akachagua Italia, Italia hawakumuita kwenye kikosi
Kuna kipindi fulani alikuwa akicheza Inter Milan mashabuki wabaguzi wakamzomea wakamuambia Black Italians don't exist
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom