"MARINI HASAN MARINI" wa TBC amesahaulika ukuu wa wilaya?

Du Marini kaula kweli,Sasa kina Anthony Musani na James Milya kumbe walikimbia bahati?Hta hivyo sidhani maana CCM kazi yao kupendeleana tu,Mtoto wa maskini kama Anthony Musani nani anamjua CCM?Hana hela ya kuwaonga au kujipendekeza kwa wakubwa?Anthony Musani amefanya mengi Meru kama amesaidia kusomesha watoto zaid ya 420 tangu mwka 1998,je nani amewahi kufanya hayao ccm.Leo hii wanamshupalia wananyima kazi,haki zake zote wame meza,Je haki iko wapi?Alikjuwa Headmaster Mzuri sana anayependa watoto msikilzaji wa shida za watu maskini.
CCM yaajabu mbona hawakumfukuza Anna Kiromo aliaiba matofali ya wilaya na kujengea nyumba yake Kilala?Mbise amabye ni Mhasibu was hule yeye anadumaza shule ya leguruki vipi yeye ameaachwa ili aendelee kuharibu?
Leguruki Sekondari Haina walimu waliosomea ualimu sasa hiyo ni shule gani kweli.CCM mnakichaa kweli.Musani mmemwonea kisa kachagua demokrasia ya kwenda kuwakomboa wanyonge wenzake.Mungu yupo hakika atamtetea Musani baba yetu.Alitusaidia wengi yatima bila kujali kabila au tunakotoka.
Sasa wadau mtafutieni mwalimu wetu kazi iliaweze kusaidia familia yake.Hivi sasa hata mshahara wala kazi na ana watoto wa kwake na yatima anaoenedlea kuwasadia,jamani mkubukenei na mungu atawakumbuka.Hapa naweka simu yake mkipenda mpigienei hata kumfariji na kumpa moyo.Anastahili michango yetu jamani,Mimi nimeanza.Watoto wake wale ,wasome na kula jamani.Wakubwa wakipata shida husaidiana na sisi maskini tuanze kusaidiana na kuimarishana
namba ya Mr Musani 0715086015 TIGO Pesa leo nimetuma kavocha kuwasiliana
Sabir
 
Aliniambia alipewa u-DC akaukataa coz bado anaipenda sana kazi yake ya utangazaji!!! Siyo mtu unaacha kutibu watu anaenda kufanya siasa wakati mwingine tuwe considerate.
 
kumbe anatokea pemba...yule kama ndo anaogelea baharini papa hawamwachi
 
Marin hassan marin, yuko shortlisted kwa nafasi ya ubalozi nchi moja iliyopo mashariki ya kati.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom