Elections 2010 Marine Hasan amtangaza Kikwete mshindi wa urais

Mi naona kuna agenda ya TBC kumpigia debe CCM, leo tena wakati nacheki TBC mtangazaji Danieli Kijo karudia yaleyale ya marine! Walikua wanasoma vichwa vya habari vya magazeti kuna habari ya Dr Slaa kuchukua form sasa yeye baada ya kusoma akawauliza wale washiriki wa kipindi chake wao wanaonaje Slaa kupoteza ubunge maana hatapata urais! Watu wote wakawa na mawazo ka yake yaani bora abaki kwenye ubunge! Ivi hawa watangazaji wanajua maana ya chombo cha umma?

hommie TBC ni chombo cha 'umma'? shauiri yako weeee??
 
MIMI NADHANI MARINE HASSAN ALIKUWA SHAIHI. KWANI HATA MAGAZETI YETU YOTE YANASEMA HIVYO HIVYO, SOMA HABARI ZAO UTASIKIA LOWASA KUMRITHI JK 2015. mEMBE KUMPOKKEA JK 2015. SASA MARINE KAKOSEA NINI HAPO?

TBC ni ya Taifa
Magazeti na vyombo vingine uwezi kuvishtaki kwa kumnadi mtu sio CHOMBO CHA TAIFA
 
It is not about going personal but some personal issue may alter your perfomance ,attitude etc.
Question "I heard Hassan Marine is GAY" AKA SHOGA ,BWABWA,CHAKLA...........je kuna ukweli?
Baada ya jibu nita comment something.
 
Back
Top Bottom