PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,203
- 8,724
Exactly BHT!KP nadhani kuna point hujaelewa au mimi sijaelewa...PJ kaongelea utoaji wa mimba nayohatarisha maisha ya mama (hii inakubalika ikithibitishwa na mganga) na hapo aliposema mimba iliyotokea involuntarily nahisi ni typo error, nimeelewa kama alitaka kusema mimba iliyotoka involuntarily kwa hivyo PAC utapata pale Marie Stopes
Ambacho hajanielewa KH ni kati ya phrases hizi 2 "mimba kutokea kwa hahati mbaya' na "Mimba kutoka kwa bahati mbaya"
I actually meant the second phrase!, thanx for clarification!