Marie stopes na utoaji mimba....

What i heard is that they do abortion officialy.. Its part of their services. And as far as the law is concerned they are probably permitted because otherwise wangesha kamatwa by now.
 
mzee umeongelea utoaji mimba maries stopes, lakini zipo dispensari nyingi sana hapa nchini na hapa DSM ambazo hujihushisha mojakwa moja na utoaji wa mimba-iwe ni kweupe au kwa kujificha. Hizi hujifanya kutoa huduma za mpango wa Uzazi. dispensari kama ya DR. Mboma pale Kawe na nyingine nyingi tu za vichochoroni. Uliza msichana yeyote hosp ya dr mboma kawe atakuelekeza ingawaje ipo vichochoroni kweli.dr huyu aliwahi kupelekwa polisi kumtoa mimba mke wa mtu bila mume kujua. hata hivyo suala hili la utoaji mimba ni la wasichana wenyewe-ndio huwashawishi madaktari kwa fedha zao-kwa nini tubebe mimba kama hatuzitaki??!!
 
ni kweli mkuu nakumbuka marie stopes mbeya ilifungwa kwasababu ya huu huu upuuuzi wao................huh
 
wanahusika na utoaji mimba bila kificho ukitaka usalama wa kutoa mimba ukimuuliza mtu yeyeote atakuambia nenda marie stopes na sijawahi kusikia ukitaka ushauri kuhusu uzazi wa mpango nenda marie stopes,they are well known for abortion tena specially wanafunzi.
 
Nu huduma itolewayo kwa risiti kabisa ila hawakupi wanaiorodhesha kwa ajili ya rekodi ya mapatio yao ya ndani kuna mshkaji nilimpeleka akalip[ishwa dirihshani kabisa yaani unaingia kwa dokta unaeleza shida yako kama vile unaumwa malaria na unapewa huduma chapchap ni ngumu kuwabaini!
 
Marie Stops wamejiandikisha kuwa wanatoa huduma za afya ya uzazi salama.

Hivyo kukutoa mimba na kusema haikuwa salama kwa afya yako ni jambo rahisi kwao

Serikali inajua kinachoendelea lkn imeamua kupuuza Kama inavyopuuza masuala mengine muhimu.
 
  • Thanks
Reactions: bht
Nina mahusiano ya karibu na Marie Stopes Tanzania!
Ukiingia katika Hospital za Marie Stopes, utaona services zote za kawaida na Zaidi sana wao wanashughulika na Afya ya Uzazi.

Hakuna mahali utaona aidha kibali au maandishi yanayosema kuwa wanatoa mimba kisheria.
Tanzania hakuna sheria inayohalalisha jambo hilo.

Nijuacho mimi ni kwamba wao wanafanya kitu inaitwa PAC(Postal Abortion Care), ambapo abortion hiyo ni ile ambayo ni kwa afya ya mama, au ile iliyotokea involuntarily!

mhhh!!! sikujua hili, kumbe TZ imetoa kibali cha wanafunzi kutoa mimba!??!! mhhhhh!!!

Ee Mungu utuhurumie na kutusamehe kwa uuaji huu.....:sad:
 
Hii inajulikana na iko wazi kabisa, sasa serikali huenda imewaruhusu..
 
Marie Stops wamejiandikisha kuwa wanatoa huduma za afya ya uzazi salama.

Hivyo kukutoa mimba na kusema haikuwa salama kwa afya yako ni jambo rahisi kwao

Serikali inajua kinachoendelea lkn imeamua kupuuza Kama inavyopuuza masuala mengine muhimu.

Hapo nakubaliana na wewe mwl!
 
Hivi kwa nini serikali isihalalishe kutoa mimba? Rwanda ni free (on state health department expences) Burundi ni halali before the 6th week etc. Kwa nini TZ wasiamui tu iwe free, na waweke sheria maalum za kitendo hicho?
Samahani Boss, maybe nimesukuma boundary ya post yako mbali kidogo
 
Marie Stops wamejiandikisha kuwa wanatoa huduma za afya ya uzazi salama.

Hivyo kukutoa mimba na kusema haikuwa salama kwa afya yako ni jambo rahisi kwao

Serikali inajua kinachoendelea lkn imeamua kupuuza Kama inavyopuuza masuala mengine muhimu.

Kawaida sana Gee, nashangaa huyu born town kwa nini haoni hilo. hakuna chochote ambacho serikali inafanya kwa umakini. hapo wanapoozana juu kwa juu tu basi.

waone TBS....mara moja kwa mwaka utaona wanajidai kuwaita watu wa tv ili wa publicize vile wanavyokamata bidhaa 'feki'...hivi inakuwaje mpaka zinamfikia mlaji na bado wahusika hawajastukia?

nenda kwenye maduka ya 'dawa baridi' (SIJUI HATA NDO NINI) Wauzaji wenyewe wanajua hata wanachouza? wanajua hata nini kinahitajika kabla hajamuuzia mtu dawa?

idara za serikali zinazohusika ku-regulate hizi biashara zinakoroma tu, siku wakiamka wamefulia wanaenda tu kwa wahusika na kujichukulia kidogo dogo. acha tuendelee kuteketea
 
Hivi kwa nini serikali isihalalishe kutoa mimba? Rwanda ni free (on state health department expences) Burundi ni halali before the 6th week etc. Kwa nini TZ wasiamui tu iwe free, na waweke sheria maalum za kitendo hicho?
Samahani Boss, maybe nimesukuma boundary ya post yako mbali kidogo

Kimsingi serikali inaruhusu kwa njia mbali mbali ila kinyemela

Dispensary zinazotolesha mimba zinajuulikana lakini serikali haiingilii

Dawa zinazotumika kutoa mimba majumbani unapatiwa over the counter pharmacy na serikali inajua

Kwa hiyo labda suala la kuwa official tu
 
Hivi kwa nini serikali isihalalishe kutoa mimba? Rwanda ni free (on state health department expences) Burundi ni halali before the 6th week etc. Kwa nini TZ wasiamui tu iwe free, na waweke sheria maalum za kitendo hicho?
Samahani Boss, maybe nimesukuma boundary ya post yako mbali kidogo

Huu ni mjadala mwingine ambao utasababisha watu watoane macho...
 
mhhh!!! sikujua hili, kumbe TZ imetoa kibali cha wanafunzi kutoa mimba!??!! mhhhhh!!!

Ee Mungu utuhurumie na kutusamehe kwa uuaji huu.....:sad:

KP nadhani kuna point hujaelewa au mimi sijaelewa...PJ kaongelea utoaji wa mimba nayohatarisha maisha ya mama (hii inakubalika ikithibitishwa na mganga) na hapo aliposema mimba iliyotokea involuntarily nahisi ni typo error, nimeelewa kama alitaka kusema mimba iliyotoka involuntarily kwa hivyo PAC utapata pale Marie Stopes
 
Kawaida sana Gee, nashangaa huyu born town kwa nini haoni hilo. hakuna chochote ambacho serikali inafanya kwa umakini. hapo wanapoozana juu kwa juu tu basi.

waone TBS....mara moja kwa mwaka utaona wanajidai kuwaita watu wa tv ili wa publicize vile wanavyokamata bidhaa 'feki'...hivi inakuwaje mpaka zinamfikia mlaji na bado wahusika hawajastukia?

nenda kwenye maduka ya 'dawa baridi' (SIJUI HATA NDO NINI) Wauzaji wenyewe wanajua hata wanachouza? wanajua hata nini kinahitajika kabla hajamuuzia mtu dawa?

idara za serikali zinazohusika ku-regulate hizi biashara zinakoroma tu, siku wakiamka wamefulia wanaenda tu kwa wahusika na kujichukulia kidogo dogo. acha tuendelee kuteketea

Bee

Maduka ya dawa moto ndo liquor stores au? Lol

Serikali hii sio imelala, nadhani imekufa kabisa. And if we really want changes itatubidi tufumue mfumo mzima tusuke upya
 
Gee usinchekeshe liqour tena?...ngoja ntamuuliza mtu nilimpa hii assignment tangu mwaka jana na hajanijibu

kwa kweli wa i mfumo wa serikali yetu ni kama wiring ya nyumba ilochakaa, haifai hata kufanya marekebisho bali kufanya wiring upya vinginevyo tusubirie nyumba iungue moto siku ya siku.

nimefikia mahali, hakuna linalonishangaza tena kwenye hii nchi.
 
KP nadhani kuna point hujaelewa au mimi sijaelewa...PJ kaongelea utoaji wa mimba nayohatarisha maisha ya mama (hii inakubalika ikithibitishwa na mganga) na hapo aliposema mimba iliyotokea involuntarily nahisi ni typo error, nimeelewa kama alitaka kusema mimba iliyotoka involuntarily kwa hivyo PAC utapata pale Marie Stopes

bht...hata mimi nimeshangaa sana! maana mimba zinatokea involuntarily ni nyingi sana! Na kama mimba imetoka, wao wanachofanya ni kumsafisha mama na sio kutoa mimba! Mhhhh hapo kwa kweli sijaelewa..................
 
sweetheart, kwa sasa tu assume alimaanisha mimba iliyotoka involuntarily ndio utapata PAC pale marie stopes (kwamba ndicho alichomaaniasha PJ ku justify kinachofanyika pale) how is that?

do not stress yourself up mama, haya mambo si yapo tu? we are being realistic here...mimba zinatolewa tu bila kificho
 
mhhh!!! sikujua hili, kumbe TZ imetoa kibali cha wanafunzi kutoa mimba!??!! mhhhhh!!!

Ee Mungu utuhurumie na kutusamehe kwa uuaji huu.....:sad:
Hujanielewa.
Nina maana arbotion iliyotokea involuntarily, na siyo pregnancy iliyotokea involuntarily!
Ukinielewa hapo tutakuwa msitari mmoja!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom