Nina mahusiano ya karibu na Marie Stopes Tanzania!
Ukiingia katika Hospital za Marie Stopes, utaona services zote za kawaida na Zaidi sana wao wanashughulika na Afya ya Uzazi.
Hakuna mahali utaona aidha kibali au maandishi yanayosema kuwa wanatoa mimba kisheria.
Tanzania hakuna sheria inayohalalisha jambo hilo.
Nijuacho mimi ni kwamba wao wanafanya kitu inaitwa PAC(Postal Abortion Care), ambapo abortion hiyo ni ile ambayo ni kwa afya ya mama, au ile iliyotokea involuntarily!
Marie Stops wamejiandikisha kuwa wanatoa huduma za afya ya uzazi salama.
Hivyo kukutoa mimba na kusema haikuwa salama kwa afya yako ni jambo rahisi kwao
Serikali inajua kinachoendelea lkn imeamua kupuuza Kama inavyopuuza masuala mengine muhimu.
mhhh!!! sikujua hili, kumbe TZ imetoa kibali cha wanafunzi kutoa mimba!??!! mhhhhh!!!
Ee Mungu utuhurumie na kutusamehe kwa uuaji huu.....:sad:

Hivi kwa nini serikali isihalalishe kutoa mimba? Rwanda ni free (on state health department expences) Burundi ni halali before the 6th week etc. Kwa nini TZ wasiamui tu iwe free, na waweke sheria maalum za kitendo hicho?
Samahani Boss, maybe nimesukuma boundary ya post yako mbali kidogo

Kawaida sana Gee, nashangaa huyu born town kwa nini haoni hilo. hakuna chochote ambacho serikali inafanya kwa umakini. hapo wanapoozana juu kwa juu tu basi.
waone TBS....mara moja kwa mwaka utaona wanajidai kuwaita watu wa tv ili wa publicize vile wanavyokamata bidhaa 'feki'...hivi inakuwaje mpaka zinamfikia mlaji na bado wahusika hawajastukia?
nenda kwenye maduka ya 'dawa baridi' (SIJUI HATA NDO NINI) Wauzaji wenyewe wanajua hata wanachouza? wanajua hata nini kinahitajika kabla hajamuuzia mtu dawa?
idara za serikali zinazohusika ku-regulate hizi biashara zinakoroma tu, siku wakiamka wamefulia wanaenda tu kwa wahusika na kujichukulia kidogo dogo. acha tuendelee kuteketea
Bee
Maduka ya dawa moto ndo liquor stores au? Lol
Serikali hii sio imelala, nadhani imekufa kabisa. And if we really want changes itatubidi tufumue mfumo mzima tusuke upya
KP nadhani kuna point hujaelewa au mimi sijaelewa...PJ kaongelea utoaji wa mimba nayohatarisha maisha ya mama (hii inakubalika ikithibitishwa na mganga) na hapo aliposema mimba iliyotokea involuntarily nahisi ni typo error, nimeelewa kama alitaka kusema mimba iliyotoka involuntarily kwa hivyo PAC utapata pale Marie Stopes
bht...hata mimi nimeshangaa sana! maana mimba zinatokea involuntarily ni nyingi sana! Na kama mimba imetoka, wao wanachofanya ni kumsafisha mama na sio kutoa mimba! Mhhhh hapo kwa kweli sijaelewa..................
Hujanielewa.mhhh!!! sikujua hili, kumbe TZ imetoa kibali cha wanafunzi kutoa mimba!??!! mhhhhh!!!
Ee Mungu utuhurumie na kutusamehe kwa uuaji huu.....:sad: