Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,643
- 22,240
Serikali ya kikoloni ilikuwa occupation na walitumia Dola, Vitisho na ubabe kutwaa madaraka lakini walijua siku ikifika wameshindwa watarudi makwao.
Hawa wakoloni weusi ni kama hawatambui kuwa kwao ni kwetu! Hawana pakwenda! Ila kuondoka madarakani haikwepeki
#TutaelewanaTu. ~ Maria Tsehai Sarungi.
Tukubali Tukatae huyu dada ni Bright na ni Next Level kwa Watanzania walio wengi. Vichwa kama hivi huwa havitakiwi na watawala hasa wa ki Afrika.
Tangu mwingereza atawale mpaka anaondoka alikuwa na kesi moja tu ya Nyerere, hata hivyo hakuteswa na watu waliruhusiwa kuisikiliza na alishinda huku kukiwa hakuna maelekezo yoyote toka kwa Malkia au Gavana. Watanganyika walifanya siasa bila kubugudhiwa na polisi, na walikuwa huru kutoa maoni yao ndiyo sababu Nyerere akienda UNO aliweza kusindikizwa uwanja wa ndege na kupokelewa arudipo.
Zipo nchi zilizokataa uhuru na wanaishi kwa raha kuliko waliopata uhuru na kujikuta wanatawaliwa vibaya zaidi.