Maria Sarungi: Mkopo wa WB wa elimu una masharti ya mtoto lazima arudi shule baada ya kujifungua, si Ombi ni lazima. Serikali kwanini inaficha ukweli?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Anaandika Maria Sarungi

Mambo ni mengi muda mchache
Leo habari imefika mkopo wa World Bank ineidhinishwa kwa ajili ya elimu ya sekondari- nimekuwa bize kuelimisha watu Twitter ila na huku ni vyema tukijikita kusoma kwa kiina mpk maandishi madogo šŸ˜‚šŸ˜‚maana masharti yako clear ni hivi:

1. Mkopo umeidhinishwa ila hata sh 10 hawapati mpk 2021 na ni BAADA YA kuelewana kuhusu uendeshaji ukiwemo mpango wa kurudi kwa watoto wa kike waliopata mimba mashuleni - bora uchaguzi upite!

2. Serikali imekana kuwa na sera yoyote ya kumfukuza mtoto aliyepata mimba šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£ so waliokuwa wanafukuza ni ā€œpracticeā€ tu! So hata viongozi mnaosema wafukuzwe maana sheria inasema mmekanwa! šŸ˜‚šŸ˜‚ hayo ni mawazo yenu! Ok? Chezeya pesa wewe?

3. Benki ya Dunia imesema msimamo wake ni kuhakikisha inafuta mazoea ya kufukuza mtoto wa kike aliyepata mimba shule na inataka kuhakikisha wanarudi tena shule za serikali na shule waliotoka! Sasa nasubiri wale wanaojua kujimwabafai waje wajitutumue humu!

4. Hazina ya Marekani imetoa msimamo mkali kuwa ilishapiga āŒ mkopo huu na inataka Management ya World Bank ihakikishe inasimamia watoto wa kike kurudi shule - kumbukeni $ inatoka % kubwa US na ndo wameshikilia mpini! Rais wa World Bank David Malpass katokea huko Treasury!

Na alipendekezwa na Trump! Sasa wale wakujimwambafai naomba kama vipi waseme hawawezi kuendeshwa na mabeberu wagomee mkopo! šŸ¤·šŸ½ā€ā™€ļø Kwa kuhitimisha - watoto wa kike kurudi shule rasmi (si kuwapeleka elimu ya watu wazima) si OMBI ni LAZIMA! Sasa msipotuelewa kwa kelele za mitandaoni mtatuelewa kwa njia nyingine ila hatimaye #TutaelewanaTu

Mkopo huu SIYO WA SERIKALI bali unachukuliwa kwa ajili ya wananchi wa #Tanzania ! Tuna haki ya kuulizia na kufuatilia na kukosoa! Ila haki ya mtoto wa kike tutapigania! Mkopo wataulipa wao na watoto wao pia!
#ArudiShule
#ChangeTanzania
 
I think some issues you donā€™t need to shout loud, it sounds nonsense, because even in Europe and North America nothing like that happens.

What is needed is to empower young girls with needful tools to equip themselves from such act of early pregnancy.
Compatible culture or democracy wonā€™t be the solution.
 
Return Of Undertaker,
Nimeona barua ya mpango kwenda WB wakiomba mkopo ili kupambana korona.
Hawana hela hawa wahuni, hats wakiwa nazo wanazitumia vibaya kuharibu na kukandamiza demokrasia.

Na hivi wanadai raisi amefanikisha kuzuia korona nawwandikia barua kuwaambia WB wasitoe hela hovyo, kwani hazitawasaidia walengwa, labda walete vifaa tu.

Hawa wahuni kwa jinsi walivyo na ukata
Watalazimisha kudanganya ili ionekane tumeathirika na korona ili tu waonewe huruma wapate mkopo
 
I think some issues you donā€™t need to shout loud, it sounds nonsense, because even in Europe and North America nothing like that happens. What is needed is to empower young girls with needful tools to equip themselves from such act of early pregnancy.
Compatible culture or democracy wonā€™t be the solution.
One would have presumed that where "compatible culture or democracy" are effectively practiced and observed, they would be in themselves the "'necessary' tools for girls to equip themselves from acts of early pregnancy"

What is it that I am missing from your otherwise reasonable statement?
 
I think some issues you donā€™t need to shout loud, it sounds nonsense, because even in Europe and North America nothing like that happens.
Sorry, missed this part the first round:

Who is shouting?

My understanding is that we had been moving along over many years with minimal focus placed on us on this same issue, until someone thought he wanted everyone to know his voice was the only voice to listen to and sort of issued an edict on the matter for everyone to follow.

He didn't realize that external institutions have the power to call his bluff and make him look like a fool!
 
Wanawake wengi wanaoendesha harakati za kutetea wanawake Mara nyingi huwa ni chanzo hata cha kuharibu ndoa za watu.

Thamani ya ndoa kwao ilikwishapotea, ndio maana Leo ulaya ndoa imepoteza thamani sababu ya kuwa na watu wa namna hii. Wamesababisha hata wanaume kugeukiana wenyewe kwa wenyewe baada ya asili ya uanamke kupotea.
 
Hapa tunazungumzia mkopo wa WB na mleta mada ni mtanzania
Wanawake wengi wanaoendesha harakati za kutetea wanawake Mara nyingi huwa ni chanzo hata cha kuharibu ndoa za watu. Thamani ya ndoa kwao ilikwishapotea, ndio maana Leo ulaya ndoa imepoteza thamani sababu ya kuwa na watu wa namna hii. Wamesababisha hata wanaume kugeukiana wenyewe kwa wenyewe baada ya asili ya uanamke kupotea.

In God we Trust
 
Wanawake wengi wanaoendesha harakati za kutetea wanawake Mara nyingi huwa ni chanzo hata cha kuharibu ndoa za watu. Thamani ya ndoa kwao ilikwishapotea, ndio maana Leo ulaya ndoa imepoteza thamani sababu ya kuwa na watu wa namna hii. Wamesababisha hata wanaume kugeukiana wenyewe kwa wenyewe baada ya asili ya uanamke kupotea.
Hakuna mkopo hapo

In God we Trust
 
Asante lugha ya malkia
Sorry, missed this part the first round:

Who is shouting?

My understanding is that we had been moving along over many years with minimal focus placed on us on this same issue, until someone thought he wanted everyone to know his voice was the only voice to listen to and sort of issued an edict on the matter for everyone to follow.

He didn't realize that external institutions have the power to call his bluff and make him look like a fool!

In God we Trust
 
Sasa Maria kosa lake ni lipi hapo? Maana yeye katuletea taarifa tu iliyo tolewa na wenye fedha zao. Njaa zenu zisiwafanye muwachukie watu pasipo sababu tulieni sheria zifuate mkondo wake
Mwaka 2014 nilimsapoti sana Maria na kuna wakati niliweka thread hapa kumhamaishea agombee urais mwaka 2015 ila watu wengi walinishangaa sana kwa maoni yale. Kumbe kweli Maria huyu ni bomu kabisa. Sehemu kubwa sana ya busara ni uwezo wa kuzungumza mambo sahihi kwa wakati wake. Hana

In God we Trust
 
Nipo naandika andiko la kuanzisha ka NGO nikaite Ng'washilalage Teen Mother Pupil Development Credit. (Nisaidieni wakuu jinsi ya kuwekajina la taasisi hii liwe zuri na inayoonyesha upendo kwa mabinti wanaonyonyesha)

Uingereza walijaribu kuwapa vizuia mimba watoto matokeo walijuta, sisi tumepewa mkopo wenye masharti ya kuwaruhusu wazaliane na kujaza madarasa! Wazungu mababu zenu walibomoa mila na tamaduni zetu enzi za ukoloni kumbe bado mna kinyongo
 
Hata hiyo 2021, kutolewa mkopo ni conditonal... sio tu ikifika Financial Year ya mwaka 2021 pesa ndo inatoka, hapana! Kifungu cha 10 cha masharti kinasema:-
10. When will funds for SEQUIP be disbursed?
No disbursements will be made under the project until it is declared effective. It can only become effective when a detailed Project Operations Manual (POM) is prepared by the government and is reviewed and cleared by the World Bank

Na nyie mnaopinga masharti hayo ya WB na kutaka watoto wafukuzwe, naomba mnijibu maswali yafuatayo:-

1. Serikali hiyo hiyo mnayoitetea inatoa ruhusa kwa watoto waliopata ujauzito kuendelea na shule za binafsi!!
(a) Kama mnaamini wakiendelea na shule za serikali watawaharibu watoto wengine, mnataka kusema huko shule binafsi wanaosoma ni watu wazima, au hao wakihabaribiwa ni poa tu?!

(b) Kama mnaona hawezi kuendelea shule za serikali kwa sababu kupata mimba ni very serious offense!
Je, wahalifu wengine hawapati huduma za serikali kwa sababu ya uhalifu wao?! Leo hii Jambazi akifanya tukio mahali, na yeye akajeruhiwa; je akipelekwa hospitali za serikali hatahudumiwa kwa sababu yeye ni jambazi?!

(c) Wale Mateja, tena wengi wanaanza kubugia unga wakati wameshakuwa na utimilifu wa akili! Mnataka kusema wakipelekwa hospitali kwa matatizo yanayohusiana na uteja wao huwa hawapati huduma?

Kwanini nongwa kwenu iwe dhidi innocent school girls?! Hivi hoja yenu hasa ni ipi?!

Msilete hoja za kinafiki kama vile maadili na utamaduni wenu kwa sababu hicho kitu haki-exist na ndio maana hawa watoto wamekuwa wakipewa ujauzito wakati mwingine na watu wazima na hata walimu wao!!

Kwahiyo suala la maadili ni UNAFIKI, kwa sababu hata huko serikalini kwenyewe, including na nyie mnaotaka watoto wafukuzwe, hayo maadili hamna!!!

Ukristo na Uislamu unakataza kuzini! Apite hapa mmoja wenu aseme hajawahi kuzini licha ya msingi mkuu wa maadili ambao ni dini unawakataza kufanya hivyo!!

Watu wazima, wengine mna hadi wajukuu hamna maadili halafu mnatarajia mtoto ndo awe na maadili... ataiga kutoka wapi wakati the whole society is corrupted?!
 
I think some issues you donā€™t need to shout loud, it sounds nonsense, because even in Europe and North America nothing like that happens.

What is needed is to empower young girls with needful tools to equip themselves from such act of early pregnancy.
Compatible culture or democracy wonā€™t be the solution.
Maria Sarungi alipata ujauzito akiwa shule ya msingi ndo maana anashadidia! Kitu cha msingi ni kuhakikisha mtoto hapati ujauzito akiwa shuleni. Maana akiwa na mtoto anaongezea majukumu ya mzazi ambayo yanamwathiri katika masomo yake
 
Back
Top Bottom