Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,774
Kuna watoto wanaobakwa je wamekosea nini mpaka wafukuzwe Shule?
Hakuna muimba mapambio atakaetokeza hapa kujibu hilo swali.
Kuna watoto wanaobakwa je wamekosea nini mpaka wafukuzwe Shule?
Au hujui kuwa Tamko la Rais ni kubwa kuliko kamwongozo hako? Hebu fungua macho!Mwongozo wa Wizara ya Elimu, hivi ndivyo unavyosema:-
KIFUNGU CHA 2.0 kinasema:-
Kumbe Mwongo umetowa majukumu kwa washika dau wote, na hapa nataja wadau wakuu wawili:-
KIFUNGU CHA 2.3- Mwongozo kwa Wazazi/ Walazi
View attachment 1407400
KIFUNGU CHA 2.6 ni Mwongozo kwa serikali:-
View attachment 1407408
Haya, weka hapa hiyo sheria unayosema "Sheria ya Elimu inatamka wazi kuwa binti kuwa na ujauzito ANAFUKUZWA shule."
Angalizo ni kwamba, huo mwongozo hapo juu ni wa April, 2009... kwahiyo tuwekee hapa sheria iliyokuja baada ya huo mwongozo!!
Sawa naomba maelezo yako ya umufilisi wa mambo ninayo yatetea na yale ninayo yapinga.Unachotetea ni mufilisi na unachopinga ni mufilisi.
Alikudanganya nani?! Wewe unadhani kila anachoongea rais ndo basi tena kinageuka kuwa sheria hata kama kinapingana na sheria zilizopo?!Au hujui kuwa Tamko la Rais ni kubwa kuliko kamwongozo hako? Hebu fungua macho!
Kwa sasa ndivyo Mkuu. Kwani tokea atamke kuna mwanafunzi aliyezaa halafu akarudi shule? Hebu lete ushahidi!Alikudanganya nani?! Wewe unadhani kila anachoongea rais ndo basi tena kinageuka kuwa sheria hata kama kinapingana na sheria zilizopo?!
Kama kubakwa ni sababu, basi wanafunzi karibu wote wanaobikiriwa wakiwa katika teenager age wanabakwa. Mwanafunzi anayebakwa anawajibu wa kwenda kufungua mashtaka dhidi ya mtu aliyembka wakati mbegu za za kiume za mbakaji zikiwa bado ziko kwenye mwili wake.Kuna watoto wanaobakwa je wamekosea nini mpaka wafukuzwe Shule?
Hela ya kuwashughulikia ipo palepale! Msidhani mtaambulia chochote nyie machokumchuzi!I agree. Wanataka hela ya kuua upinzani uchaguzi.
Maria sarungi akihakikishiwa mkate atatetea abortion.Wazungu abortion ruksa..tuko tayari???
kosa la Maria kusema tumepewa masharti?Return Of Undertaker,
Mwaka 2014 nilimsapoti sana Maria na kuna wakati niliweka thread hapa kumhamaishea agombee urais mwaka 2015 ila watu wengi walinishangaa sana kwa maoni yale.
Kumbe kweli Maria huyu ni bomu kabisa. Sehemu kubwa sana ya busara ni uwezo wa kuzungumza mambo sahihi kwa wakati wake. Hana
Mimi huyu dada najua babake ni matanzania ila mama sijajua wa asili yake maana yeye ni kama chotara hivi tukijua asili ya mamake itatusaidia kumjua yeye ni mtu ganiMaria amekua MTU wa ajabu kidogo
Hata zile analytical skills zimepoa kabisa
She should have been balanced in her analyses
Kwa sasa ni Bora kubishana na mashabiki wa soka la bongo kuliko huyu dada
She's busy proving people that she is right kuliko wellbeing ya anaowasimamia
Pumbav, hata wewe ulikuwa Mimba, mimba ni mimba tu iwe kwa mwanandoa, iwe kwa mwanafunzi au kwa kichaa! Kama sio utahira wetu nini mpaka tunaowaita mabeberu wawatetee watoto wetu!Huwezi kutetea mimba na kuwa upande wa wanafunzi, ni utaahira.
Skubaliani na hilo.. Ila CCM isipewe hizo hela watazipiga tu kama zingine.
Ametoka katika urusi ya zamani, sasa sijui baada ya urusi kusambaratikaMimi huyu dada najua babake ni matanzania ila mama sijajua wa asili yake maana yeye ni kama chotara hivi tukijua asili ya mamake itatusaidia kumjua yeye ni mtu gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kuna suala la watoto wa kike kupimwa mimba pasipo hiari katika shule zetu. Hilo nalo limepingwa. Serikali imesema watoto wa kike hawapimwi. Mwenye pesa amesema atafuatilia!Anaandika Maria Sarungi
Mambo ni mengi muda mchache
Leo habari imefika mkopo wa World Bank ineidhinishwa kwa ajili ya elimu ya sekondari- nimekuwa bize kuelimisha watu Twitter ila na huku ni vyema tukijikita kusoma kwa kiina mpk maandishi madogo 😂😂maana masharti yako clear ni hivi:
1. Mkopo umeidhinishwa ila hata sh 10 hawapati mpk 2021 na ni BAADA YA kuelewana kuhusu uendeshaji ukiwemo mpango wa kurudi kwa watoto wa kike waliopata mimba mashuleni - bora uchaguzi upite!
2. Serikali imekana kuwa na sera yoyote ya kumfukuza mtoto aliyepata mimba 🤣🤣🤣 so waliokuwa wanafukuza ni “practice” tu! So hata viongozi mnaosema wafukuzwe maana sheria inasema mmekanwa! 😂😂 hayo ni mawazo yenu! Ok? Chezeya pesa wewe?
3. Benki ya Dunia imesema msimamo wake ni kuhakikisha inafuta mazoea ya kufukuza mtoto wa kike aliyepata mimba shule na inataka kuhakikisha wanarudi tena shule za serikali na shule waliotoka! Sasa nasubiri wale wanaojua kujimwabafai waje wajitutumue humu!
4. Hazina ya Marekani imetoa msimamo mkali kuwa ilishapiga ❌ mkopo huu na inataka Management ya World Bank ihakikishe inasimamia watoto wa kike kurudi shule - kumbukeni $ inatoka % kubwa US na ndo wameshikilia mpini! Rais wa World Bank David Malpass katokea huko Treasury!
Na alipendekezwa na Trump! Sasa wale wakujimwambafai naomba kama vipi waseme hawawezi kuendeshwa na mabeberu wagomee mkopo! 🤷🏽♀️ Kwa kuhitimisha - watoto wa kike kurudi shule rasmi (si kuwapeleka elimu ya watu wazima) si OMBI ni LAZIMA! Sasa msipotuelewa kwa kelele za mitandaoni mtatuelewa kwa njia nyingine ila hatimaye #TutaelewanaTu
Mkopo huu SIYO WA SERIKALI bali unachukuliwa kwa ajili ya wananchi wa #Tanzania ! Tuna haki ya kuulizia na kufuatilia na kukosoa! Ila haki ya mtoto wa kike tutapigania! Mkopo wataulipa wao na watoto wao pia!
#ArudiShule
#ChangeTanzania