Natty Bongoman
JF-Expert Member
- Oct 10, 2008
- 403
- 191
Maria hakuwa mwanafunzi bora darasani Sunday school. Kawaida yake, husinzia darasani.
Jumapili moja, mtawa mwalimu aliamua kumuuliza Maria maswali, bila kutambua Maria keshasinzia.
Swali la kwanza, Maria, ni nani alieumba ulimwengu?
Joji chizi aliyeketi nyuma ya Maria alikuwa na sindano (pin), uchizi ukimvamia Joji kaamua kumchoma Maria sindano.
Maria aliruka akipiga yowe Mungu wangu!.
Mwalimu Mtawa akifurahishwa na jibu, vizuri Maria.
Maria aliketi na kuendelea kusinzia.
Baadaye, mwalimu akiwa na swali lingine, akaita, Maria, nani ni bwana mwokozi wetu?.
Joji alirudia uchizi wake na sindano, Maria akaruka tena na yowe - Yesu Kristooo, mi
Mwalimu Mtawa akakatiza furahani, vizuri sana Maria!.
Maria aliketi na akarudi usinzini japo na hasira sasa.
Usingizi ukimpanda Maria, mwalimu akamwita na swali jinginelo, Maria, baada ya kuzaa mtoto wa kumi, Hawa alimwambia nini Adama?.
Joji chizi bila kuchelewa akamchoma Maria sindano
Mara hii Maria aliruka hasirani akifoka, Pumbaff! Ukinitoboa na sindano yako tena! ntaivunja kabisaaa!
Boom! Mwalimu Mtawa alianguka akishazimia