Marekebisho ya taratibu na sheria uongoz za jeshi la polisi

Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
13,204
13,179
Tunaomba taarifa kama mabadiliko ya katiba yamegusa taratibu za uongoz na utawala ndan ya jeshi la polis. Mfumo wa kikolon bado unaendelea?
 
huku ushaambiwa hayo yote yameundiwa baraza la ulinzi na usalama wa taifa ambako yatakua chini ya amiri jeshi mkuu ambae pia ni rais wa shirikisho. ngoja waje wajuzi wa mambo haya watakuelesha vizuri.
 
Maswala ya Jeshi la Polisi yanalazimika kuondolewa kabisa katika influence za rais, rais abaki na mamlaka ya Jeshi la Wananchi ili kuepuka kulitumia Jeshi la Polisi dhidi ya wananchi kwa maslahi binasfi ya kisiasa.
 
Inamaana uteuz wa wakuu wa vyombo vya ulinz na usalama wakiteuliwa watathibitishwa na bunge?
 
Back
Top Bottom