Marekebisho sheria ya Mikopo ya elimu ya juu majina ya wadaiwa sugu kutolewa na Picha zao.

Hawa bodi ya mikopo wanaokusanya maden wamekuwa kero hawawajui wanaowadai mara unakuta jina la aliyesoma diploma na degree hajaisoma sasa huwa najiuliza majina yanafanan,wanakosea, makusudi, hawajui wadaiwa halisi ama majina yanafanana tu. Bac vzr watoe na hizo picha kuondoa hali ya sitofahamu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom