Marekani yazionya nchi za Afrika Mashariki kuhusu kupiga marufuku mitumba, AGOA matatani

Hawa jamaa hua najiuliza ukifika muda tunaviwanda vya kutosha hatuagizi vitu kwao kama sasa watatutaftia kisa chochote waturudishe nyuma ...yabidi ziwekwe sera zakuilinda Africa mapema
Kwa akili za viongozi jamii ya pombe, bashite, gumbo n.k kwa kuona wenye mawazo mbadala ni adui wa taifa usahau kufika huko
 
Vita ya uchumi haihitaji kelele, inataka kwenda kimya kimya, suala lingekuwa kuanzisha hivyo viwonder vya nguo vinavyotosheleza mahitaji yetu kisha piga kodi kubwa nguo zinazoingia nchini, hiyo ndio free competition.
 
Tatizo ni mikataba uchwara tunayoingia na hawa wazungu koko kwa kudhania kuwa wanatuthamini.

Daima, mzungu koko yeyote anaangalia maslahi yake mfano, ukiona mzungu koko anakupatia kitu bure au kwa bei ndogo unatakiwa uwe makini sana. Niandike hivi ili tuelewane, yaani mzungu koko anakuwa tayari ameishaona eneo la kukubana siku zote za maisha yako .

Sasa angalia, mkataba Kama huo, tena tunaanza kuonywa Kama vitoto vidogo vya chekechea.

Mfano. Trump, amesema USA itajitoa kwenye Paris Climate change agreement, na hakuna nchi ya Africa inayotoa uchafu wa viwanda kwenye anga Kama USA, ulaya na Asia ndiyo wachafuzi.

Sasa, hapo USA yeye ameona atapata hasara na nchi hizo za ulaya na Asia hataweza kupata faida yeyote kwenye hii agreement ndiyo maana anataka kujitoa. Ila jambo kubwa ni kwamba, hakuna faida atakayoipata kutoka kwenye hili jambo la climate change.


Africa, tulijisahau sana katika mikataba, makubaliano ya kirafiki na n.k. sasa wazungu koko wakaona hapo ndipo pa kuponea.

Ila, tunahitaji kusimama kidete na kukataa huu upuuzi wa wazungu koko, bila hivyo tutakuwa soko la wazungu koko hadi mwisho wa Dunia.

Hii naweka Kwa manufaa ya wote humu JF wenye akili waelewe
Baba yangu mzazi, siku moja akanifundisha jambo hili akasema:-
"Mwanangu, #Poise# Uwe makini sana, pale mzungu koko, atakapo kupatia Zawadi hata ndogo sana kama bic"/pen. Ukiipokea tu, ni lazima pana siku utaandika makubaliano Kwa kutumia pen ✒ ✒ aliyokupatia Kama Zawadi, mkataba au makubaliano ambayo yatakuwa na faida kwake kwa wakati huo au siku zote za maisha yao.
Maana, kitu chochote kutoka kwa mzungu koko akitoacho huwa anategemea kupata faida maradufu"

Yaani mzungu koko ni sawa kabisa na nyani "maana ukicheka na nyani utavuna mabua"
 
Ni rahisi sana kuwashinda ni kwamba tutawambia kama nyie mnavyoruhusu bidhaa zilizofikia viwango vya juu ndio viingie nchini kwenu na sisi tunataka bidhaa za viwango hivyo hivyo hatutaki mitumba tunataka brand new clothes period.
 
kinachofanyika rwanda na tz tunakifanya daaah akili za kushikiwa izi jau sana
 
Ni rahisi sana kuwashinda ni kwamba tutawambia kama nyie mnavyoruhusu bidhaa zilizofikia viwango vya juu ndio viingie nchini kwenu na sisi tunataka bidhaa za viwango hivyo hivyo hatutaki mitumba tunataka brand new clothes period.
Swali linakuja, je nchi ina purchasing power ya kununua hivyo vitu quality ya juu? Usikute hapo unatype umevaa mitumba na ukitoka hapo unaenda kuendesha gari lako used kwenda nyumbani lol!
 
Swali linakuja, je nchi ina purchasing power ya kununua hivyo vitu quality ya juu? Usikute hapo unatype umevaa mitumba na ukitoka hapo unaenda kuendesha gari lako used kwenda nyumbani lol!
Nimesema hivyo baada ya kuwa na viwanda vya kutosha vya nguo ndani ya nchi kama hiyo taarifa inavyosema sababu hata wakileta hazitanunuliwa sana sababu za nchini zitakua cheap kuliko za abroad
 
What's real?

Since AGOA which part has benefited the most?

Maybe I don't have right records

Not real be'se, taking gross export figures of the two parts and making conclusion that US exports more than the combined three countries may mislead the real benefits of such exports. The $281m of US exports is 0.00156% of the total US GDP while $43m of the combined exports from all three countries is 0.054% of their total GDP ($79.366). So the reality is that we, east Africa benefits more from AGOA than US. You should be aware as well, AGOA is not an reciprocal trade. That means even without AGOA, US could have similar shares of exports to those countries. Also, US exports to the region comprise goods like machinery, electronics and other capital intensive goods which we don't produce and lack comparative advantages as of now. Our exports are textiles, agricultural products and other products of our comparative advantages.

Most important is that, AGOA helps us build exports culture and gain competitiveness because to export into the US requires international standards that will make the firm gain experiences that will enable her to export its products all over the world.

Both large and small business individuals/firms have benefited and continue to benefit from AGOA for products allowed under the act, based on our competitive and comparative advantages.

The less we get from it, is be'se of our government' inefficiencies in designing policies and strategies to exploit AGOA opportunities.

Yeah, you better find your records clear before undermining the AGOA impacts. Another good news from empirical findings is that introduction of AGOA did not reduce exports to the EU under generalized systems of preferences and other unilateral agreements. This means AGOA helps African countries increase their production capacity (both quality and quantity).
 
Back
Top Bottom