Marekani yawaonya Raia kwenda Kenya sababu ya COVD19

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,372
6,078
Serikali ya Marekani imewaonya raia wake kutotembelea Kenya Sababu ya ongezeko la wagonjwa wa Covd19 na hatari ya ugaidi kutokea.
Hii itakuwa pigo kubwa sana kwa sekta ya utalii ambapo Jana Waziri Balala na Rais Uhuru Kenyatta walizindua kampeni kababe ya kuvutia watalii kutembelea nchi hiyo.

--

The US Government via the Kenyan Embassy advised its citizens to reconsider travelling to Kenya due to a surge in Covid-19 cases.

In statement shared on August 8, the embassy cited health, crime and terrorism as the key reason behind the latest update.

"Reconsider travel to Kenya due to Covid-19. Exercise increased caution in Kenya due to crime, terrorism, health issues, and kidnapping. Some areas have increased risk," the latest advisory reads in part.

The Centers for Disease Control and Prevention (CDC) further issued a Level 3 Travel Health Notice for Kenya due to the pandemic.
According to CDC's website, Level 3 notice recommends avoiding nonessential travel as the situation is deemed as extremely risky.

The consulate forther highlighted Nairobi neighborhoods of Eastleigh and Kibera as hgh risk areas for kidnapping and crime.

However, the US embassy made it clear that the latest travel advisory was not a call for its citizens to avoid Kenya.

The move was decribed as more of a way to arm its citizens with all the necessary details to help them come up with an informed decision.

Kenya's border with Somalia was highlighted as a highly volatile area.

The latest warning came on the very day when President Uhuru Kenyatta gave the country a clean bill of health, adding that tourists were assured of their health and safety.

Speaking spoke from State House, Nairobi, during a virtual meeting with Kenyan marathoner Eliud Kipchoge, Tourism Cabinet Secretary (CS) Najib Balala and Narok Governor Samuel Tunai, the president shared his satisfaction with measures taken to protect tourists.

"I take this opportunity to encourage every single Kenyan to take advantage and travel. You can travel, you can move, and as you know, we have also opened up our skies to flights. We welcome all those who choose to come,” he stated.

Kipchoge was appointed as the goodwill ambassador for tourism and was spotted in the Masai Mara National Reserve alongside CS Balala.

As of August 9, Kenya has recorded 26,436 Covid-19 cases, with 420 fatalities and 12,961 recoveries.

President Uhuru assented to the resumption of international flights to and from Kenya, with the first planes taking flight and touching down across various airports in the country on August 1.

Reconsider Travel to Kenya - US Embassy Advises
View attachment 1533851
 
MK254 njoo uone hii taarifa yenu ni nzuri msije kuwaambukiza waamerika corona yenu

Wako sahihi, maana sisi hatufichi hali ya corona kwetu na hautasikia tukilialia na kujichokea kama Watanzania kila tukitajwa, yeyote anayekuja kwetu afahamu namba zetu za waathirika zimepandisha na huwa tunazitaja bila uwoga. Hatua za kwanza na muhimu kwenye kupambana na huu ugonjwa ni kuondoa uwoga na kukumbana nawo, kupima na kujua hali yako na kuitolea taarifa pia.
 
Tunaweka kumbukumbu sawa .
Wamekufa wakenya 420.
Bado 80 wafike 500.
Safari bado INAENDELEA
Wakenya watavuna walichopanda, JPM piga gear Na 5 sasa
Screenshot_20200810-031057.jpg

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Kenya tungekua na akili finyu kama zile za jiwe tungeban ndege za US kutua Kenya sababu Trump ameban Kenya kwenda US
Danganyika ni kituko cha nchi.
 
Kenya tungekua na akili finyu kama zile za jiwe tungeban ndege za US kutua Kenya sababu Trump ameban Kenya kwenda US
Danganyika ni kituko cha nchi.
Ni upumbavu wenu tu...unazuia jirani kuja kwako kisa ugonjwa halafu wewe unakwenda kwa nyumba yake kufuata nini sasa?
Hapa Songea kuna wimbi la wakenya wanaonunua mahindi kuleta huko Kenya kwa nini serikali yenu isiwazuie kuja ama kurudi humo?
 
Wako sahihi, maana sisi hatufichi hali ya corona kwetu na hautasikia tukilialia na kujichokea kama Watanzania kila tukitajwa, yeyote anayekuja kwetu afahamu namba zetu za waathirika zimepandisha na huwa tunazitaja bila uwoga. Hatua za kwanza na muhimu kwenye kupambana na huu ugonjwa ni kuondoa uwoga na kukumbana nawo, kupima na kujua hali yako na kuitolea taarifa pia.
wewe ni kuku.
 
Serikali ya Marekani imewaonya raia wake kutotembelea Kenya Sababu ya ongezeko la wagonjwa wa Covd19 na hatari ya ugaidi kutokea.
Hii itakuwa pigo kubwa sana kwa sekta ya utalii ambapo Jana Waziri Balala na Rais Uhuru Kenyatta walizindua kampeni kababe ya kuvutia watalii kutembelea nchi hiyo.

Reconsider Travel to Kenya - US Embassy Advises
Mk254 yuko wapi aje kusema Ile SAFIII PIMA PIMA PIMA PIMA SASA NYUMBA KWA NYUMA MWENDO WA KUPIMA TU. uwez ukaona mtu yeyote mwenye akili timamu anatamka maneno haya
 
Kenya tungekua na akili finyu kama zile za jiwe tungeban ndege za US kutua Kenya sababu Trump ameban Kenya kwenda US
Danganyika ni kituko cha nchi.
mnaweza kuban ndege za US???

acha hata kufikiria ujinga. hizo maamuzi achieni wanaume, tuliomkalisha kikao barozi wa marekani bila barakoa. akabaki anapiga makofi anaimba

angesema fyokoo, anakula umeme arudi kwao akapumzike. kama yule wa UK.
 
Wako sahihi, maana sisi hatufichi hali ya corona kwetu na hautasikia tukilialia na kujichokea kama Watanzania kila tukitajwa, yeyote anayekuja kwetu afahamu namba zetu za waathirika zimepandisha na huwa tunazitaja bila uwoga. Hatua za kwanza na muhimu kwenye kupambana na huu ugonjwa ni kuondoa uwoga na kukumbana nawo, kupima na kujua hali yako na kuitolea taarifa pia.
Usiwaze Kwa kutumia naniliu wewe , kama kwasababu hamufichi kama kuna wanaoficha hao wamarekani wamejuaje kama korona imepungua Sana
 
Kenya tungekua na akili finyu kama zile za jiwe tungeban ndege za US kutua Kenya sababu Trump ameban Kenya kwenda US
Danganyika ni kituko cha nchi.
Pimbo kama nyie hamn ubavu huo....km kweli iyoserikal yenu ilikuw inawapenda km ilivyo leta bashasha Tz ...ingewafungia n hao bwanazenu....sasa amewanyosha....umieni taratib mnafki hana rafiki
 
Back
Top Bottom