Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 16,637
- 31,135
Hata waongoze nn mzee sahau muajemi kupigwa na muamerka mkuuUS wanaenda kimkakati,anaweza kumshambulia Iran baada ya jamaa kuongoza kwa awamu ya pili (vuguvugu ya uchaguzi)
Hata waongoze nn mzee sahau muajemi kupigwa na muamerka mkuuUS wanaenda kimkakati,anaweza kumshambulia Iran baada ya jamaa kuongoza kwa awamu ya pili (vuguvugu ya uchaguzi)
Ungevunjika alivyo ingilia iraq kwanza ila hawez ipiga iran huyu hata kwa fimboAsipoingia kimkakati,umoja wa mataifa unaweza kuvunjika
Tuheshimiane. Hunijui, sikujui. Ficha upumbavu wako. Jifunze kuwa na hekima na Busara itakusaidia sana katika maisha yako.Wewe ndio mke wake ama!!!
Hata North Korea wamarekani walitaka kuifanya ujinga wa hivi hivi.
kiduku ak0aona mnanichezea nyie akarusha Kombora likapita juu kwenda kwny anga ya Japan wajapan ving'ora vikalia usiku kucha wakaenda kulala kwny mahandaki.
Akakaa siku 2 tatu hivi akatest kitu kingine kikapita tena Kwny anga la South Korea mpk baharini tena.,mchezo ukaishia hapo hapo.
Ile mizigo yote ipo Iran ! !!
Ile U-turn ya Trump juu ya kuishambulia Iran sio jambo dogo mkuu!Sasa Hivi Huyu TRUMP akijichqnganya tu amekwisha yaani mchina na urusi na irani na Mzee kiduku wanamlia timing tu.
Mwanamke mbona huelewi somo? Unarudia yale yale kama umetoka kupakuliwa jicho. Nitakuvuruga huko huko uliko. Sikujui hunijui pita kushoto.Jibu swali.
Je wewe ni mke wake??
Wewe single mother vipi? Mbona una kauli chafu sana au jamaa ni hawara yako maana naona unanishupalia sana yaani upo radhi uanze ligi na mimi kwa sababu ya jamaa. Kaogeshe watoto, upike chakula kwa ajili ya Bash@ wako😂 😂 😂😂😂😂😂😂
Nakuona mishipa ya shingo ilivokusimama kumtetea mumeo!!!
ALIONGEA kihivyo mkamponza hadi kanyongwaUSA na best zake wana mbwela mbwela tu Iran mwanaume hasa