Marekani yatuma wanajeshi 500 na silaha nzito za kivita Saudia Arabia muda wowote Iran kushambuliwa

Hata North Korea wamarekani walitaka kuifanya ujinga wa hivi hivi.

kiduku ak0aona mnanichezea nyie akarusha Kombora likapita juu kwenda kwny anga ya Japan wajapan ving'ora vikalia usiku kucha wakaenda kulala kwny mahandaki.

Akakaa siku 2 tatu hivi akatest kitu kingine kikapita tena Kwny anga la South Korea mpk baharini tena.,mchezo ukaishia hapo hapo.
 
Sasa Hivi Huyu TRUMP akijichqnganya tu amekwisha yaani mchina na urusi na irani na Mzee kiduku wanamlia timing tu.
Ile U-turn ya Trump juu ya kuishambulia Iran sio jambo dogo mkuu!
Iran ana wachokonoa kweli kupandisha bendera ya Iran kwenye meli ya UK sio uchokozi mdogo kiitifaki!!
 
😂 😂 😂😂😂😂😂😂
Nakuona mishipa ya shingo ilivokusimama kumtetea mumeo!!!
Wewe single mother vipi? Mbona una kauli chafu sana au jamaa ni hawara yako maana naona unanishupalia sana yaani upo radhi uanze ligi na mimi kwa sababu ya jamaa. Kaogeshe watoto, upike chakula kwa ajili ya Bash@ wako
 
Back
Top Bottom