Marekani yatufunza kupunguza gharama za kampini Uchaguzi Mkuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marekani yatufunza kupunguza gharama za kampini Uchaguzi Mkuu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Candid Scope, Jul 5, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Obama Presidential bus campaign 2012

  [​IMG] [​IMG][​IMG]


  Republican Presidential bus campaign 2012

  [​IMG]

  Mashindano ya maumizi makubwa ya pesa kipindi cha hata chaguzi ndugo nchini Tanzania inatia dosari kutokuwa makini na kipi muhimu na kugawanya nguvu. Baada ya Uchaguzi Tanzania hali ngumu ya uchumi inaanza kutikisa serikali. Haya Wenzetu badala ya kuagiza magari 200 kwa ajili ya kampeni za chama fulani, serikali inathibiti kwa kila chama kupewa bus kwa ajili ya kampeni. Bongo tunaiweza hiyo?

  Tume ya uchaguzi Tanzania wakati wa uchaguzi inazidi kuvimbisha mishipa usoni kudai matumizi ya pesa za Kampeni bila vitendo kwani ilitakiwa kugawaia vyombo vya usafiri kama ifanyavyo Marekani hapo uthibiti wa matumizi makubwa ingwezekana, la sivyo ni usanii tu.
   
 2. Kelema

  Kelema Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakika, Marekani wametuonyesha mfano BORA! Fikiria uwezo wa kifedha walionao, na misaada nayotoa duniani, lakini bado wanabana matumizi. Sisi tulio na uhaba wa pesa uliokithiri, tunataka kufanya kampeni za kifahari. Mimi nauliza, hivi sisi ni nani aliyeturoga? Na ukiangalia kwa undani utagundua kwamba lengo kuu ni "ULAJI" tu!!!!
  Sasa cha kuchekesha, hembu fikiria haya:-
  1. Fisadi anakula kilo ngapi kwa siku?
  2. Je, anakula kila kitu ambacho nafsi yake inakitamani? Au Daktari kamzuia kula chumvi, sukari, beer, n.k.?
  Kwa kuwa mafisadi wanakuwa na uwezo wa kununua kila watakacho (Hata kununua watu), basi baadhi yao wanakula bila kujidhibiti, matokeo ni magonjwa mbalimbali yasababishwayo na kula kupita kiasi, kukosa mazoezi, n.k.
  3. Je, analalia vitanda vingapi? Na hicho kimoja anacholalia hakilalii choote, atalala kwenye kasehemu tu!
  4. Je, alivyo na magari ya kifahari, anakalia seat zote za gari? Zingine hajawahi kuzikalia hata mara moja! Magari yake mengine hajawahi kuyapanda.
  5. Je, ana amani ya kutosha? Akitembea ana wasiwasi, akitaka kula kitu lazima achague sehemu "salama" za kuingia. Akitaka kwenda katika kumbi za starehe mpaka ziwe maalumu na mara nyingi kukiwa na tukio maalumu. Kifupi uhuru wake ni mdogo. Status aliyonayo inamtesa!!! bila yeye kutambua kwamba anateseka.
  6. KUBWA KULIKO YOTE: Naomba kuuliza, hivi mtu anayejilimbikizia mali za kupindukia, AKIFA, atakwenda na mali kiasi gani kaburini? Atavikwa sanda/suti ngapi? Je, atakwenda na saa za mkononi ngapi? Atakwenda na mikufu ya dhahabu mingapi? Atakwenda na vyakula/vinywaji gani? Magari mangapi? Nyumba ndogo ngapi? n.k. n.k. n.k.

  USHAURI WANGU WA BURE!!!!

  Jenga uhusiano wako pamoja na Mungu. Unawezaje kujenga uhusiano na Mungu ambaye humuoni?
  Nitafute kwa 0713 520106 tuzungumze pamoja. Nitakupa njia nzuri na rahisi kabisa ya kujenga uhusiano wako pamoja na Mungu. Kama uko mbali sana ama hupendi kujulikana, mtafute Shahidi wa Yehova aliye karibu nawe. Nenda Jumba la Ufalme la Mashahidi wa Yehova (Kingdom Hall of Jehova's Witnesses) wako kila mahali DUNIANI, kwa lugha mbalimbali, mwambie unapenda kujua zaidi juu ya namna ya kujenga uhusiano mzuri pamoja na Mungu. Atafurahi sana kushiriki na wewe UJUZI SAHII wa kujenga uhusiano wako na Mungu.
  Kisha, kwa kuwa Mungu anaruhusu mambo yanayotufaa tu, anazuia yasiyotufaa, utakwenda sambamba na mapendezi Yake. Utaridhika na hali furani ya kiroho, ambayo itakupa uradhi, amani, na dhamiri safi. Kisha utakuwa na uhakika wa kuwa mmojawapo wa watu watakaookoka uharibifu unaokuja wa mfumo uliopo wa dunia, na kufurahia mfumo mpya wa Mungu. Hutatamani kujilimbikizia mali za mpito. Utatamani mali za halali, zenye kudumu, na za uhakika, kwa kiasi kinachofaa, na matendo mema, hadi ujipatie UZIMA WA MILELE.
   
 3. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,187
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  Mmeangalia na Hali za BARABARA za Vijijini kwanza?
   
 4. i

  iseesa JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Lakini Mkuu umeziona barabara zao? Hapa kwetu "Choppa" ndiyo inafaa
   
 5. R

  Recover Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli Barbara ni mbovu,lakini mtoa Hoja anamaanisha dhana nzima ya kubana matumizi
   
 6. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Wala usiende mbali eti vijijni, hapahapa dom tu, udom waliagiza mabasi eti yakawa hayawezi kupandisha barabara za kule UDOM kisa, mabasi yako chini sana ikabidi yarudishwe china yalikotoka!
   
Loading...