Marekani Yatoa Onyo Kali Kwa Serikali ya Ethiopia Kuhusu Haki Za Binadamu

Wenyewe hak za binadamu hawana shwain

Well said, sio siri Trump na Serikali yake wote wanaonekana wana dalili zote za kuchanganyikiwa akili baada ya kubaini kwamba ushawishi waliokuwa nao miaka ya nyuma katika masuala ya Geopolitics hivi sasa ushawishi huo una-decay exponentially under their WATCH!!!

Wenyewe wanashindwa ku-address haki za binadamu ndani ya Taifa lao linalo ongoza katika ubaguzi wa rangi, Ethiopia si Purto Rico, Hawaii, Diego Garcia au Guam - leo hii USA wanapata wapi moral Authority ya kuikomalia Ethiopia wakati si koloni lao? Wala siwezi kushangaa nikisikia kwamba vurugu za kikabila/kikanda zinazo jitokeza mara kwa mara nchini Ethiopia wachochezi wanaweza kuwa CIA lengo likiwa ku-contain influence ya Uchina nchini Ethiopia na Barani Africa.
 
In his September 1994 address to the nation, four days prior to the intervention, Clinton explained to the American people that he had decided to invade Haiti because he was concerned by the vast number of human rights abuses following the September 1991 coup that had sent democratically-elected Aristide into exile.


"because he was concerned by the vast number of human rights abuses.."

Unaona walivyo sasa..
 
Grenada in 1983?

President Ronald Reagan, citing the threat posed to American nationals on the Caribbean nation of Grenada by that nation's Marxist regime, orders the Marines to invade and secure their safety. There were nearly 1,000 Americans in Grenada at the time, many of them students at the island's


Hapana, Panama Invasion ya '89 commodities, during Noriega's tenure.

Lakini kabla ya hapo, he was even called a "CIA Man", jinsi alivyofanya nao kazi mpaka walipogeukiana, mahusiano kuvunjika, and he eventually ended up in Jail.
 
Back
Top Bottom