Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,196
- 113,479
Chanjo iliyopo Tanzania ni moja tu? Ndo hiyo ya J & J?Ninalinganisha kama chakula kwa sababu kuna mataifa yanasema kama hujachanjwa huwezi kuingia katika nchi zao.
Kuna watu wanachanjwa sio kwa sababu ya kuogopa ugonjwa bali kwa sababu ya kutimiza masharti fulani ambayo yanawataka kwa lazima.
Kuna watu wanatakiwa kwenye kuhiji na wasipochanjwa hawawezi kuruhusiwa kwenda kuhiji. Hawa kuna baadhi sio kwamba wanachanjwa ili kujihami na korona bali kwa sababu ya kutimiza sharti.
Chanjo inayopatikana nchini ni moja tu na wakiikataa hawawezi kwenda kuhiji.
Kwa mantiki hii ndio maana hoja ya chakula nimeweka kama mfano muhimu.