Marekani yatangaza Dau kwa atakayetoa taarifa za mtoto wa Osama Bin Laden

Katoto kadogo kanawasumbua..,
Wakati walipovamia Aboutabad.. hako katoto kalikuwa miaka 8 kamilala ubavuni..,Jee kwanini wasingekabeba na kukatupa BAHARINI !!! mmh ati leo kanawasumbua ..na kutoa dau (KODI za wananchi wao)

eti eeh?? dudus !!
Gaidi au jasusi aliyekubuhu hawezi kukaa sehemu moja na watu wake wa karibu sababu za kiusalama
 
Al qaeda wanakiri osama bin laden ameuawa,

Obama anatangazia osama ameuliwa katika operation iliyotekelezwa na marekani,

familia ya osama wanakiri baba yao ameuliwa na marekani,

mtoto wa osama (hamza) anachaguliwa kuliongoza kundi la al qaeda kushika nafasi ya marehem baba yake,huyu mtoto nae majuzi wameripot ameuawa kwa mashambulio ya anga ya marekani,

serikali ya pakistan wanakiri wazi osama kauliwa na wanajitetea hawakuwa wanajua kuwa amejificha nchini pakistani,

wanajeshi
na intelijensia ya pakistan wanalalamika kwanini marekani imefanya operatin nchini mwao bila kuwashirikisha katika kumkamata na kumuua osama bin laden.

Osama mwenyewe(kama wafanyavyo magaidi wote) toka ithibitike ameuawa hajajitokeza wala kurekodi mkanda wa video hadharani kuwasuta marekani kuwa yuko hai mpaka leo, ilihali enzi akiwa hai zaidi ya mara nne, amekuwa akirelease mkanda wa video kutuma ujumbe mbali mbali kwa wafuasi wake na kuwazodoa marekani

mtanzania(mnyonge) yuko temeke kwa aziz ally na mbagala anasema LILE LILIKUWA PICHA LA MAREKANI KUMUUA OSAMA, OSAMA YUKO HAI, hii ndiyo Tz ya vi-wonder
 
Ongezea na hii
Screenshot_20191010-142022.jpeg
View attachment 1228622
Screenshot_20191010-142133.jpeg
Screenshot_20191010-142145.jpeg
 
Back
Top Bottom