Marekani yatangaza Dau kwa atakayetoa taarifa za mtoto wa Osama Bin Laden

Display Name

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
423
451
The United States is offering a reward of up to $1m (£750,000) for information about the son of the late al-Qaeda leader Osama Bin Laden, Hamza.

Hamza Bin Laden is emerging as a key leader of the Islamist militant group, the state department says.

In recent years, he has released audio and video messages calling on followers to attack the US and its Western allies in revenge for his father's killing.

US special forces killed Osama Bin Laden in Pakistan in 2011.

He approved the attacks on the US on 11 September 2001, in which nearly 3,000 people were killed.

Hamza Bin Laden, who is believed to be about 30 years old, was officially designated by the US as a global terrorist two years ago.

He married the daughter of Mohammed Atta, who hijacked one of the four commercial aircraft used in the 2001 attacks, and crashed it into one of the World Trade Center towers in New York.

Letters from Osama Bin Laden seized from his compound in Abbottabad where he was killed indicated that he had been grooming Hamza, thought to be his favourite son, to replace him as leader of al-Qaeda, according to the state department.

"We do believe he's probably in the Afghan-Pakistan border [sic] and... he'll cross into Iran. But he could be anywhere though in... south central Asia," said Assistant Secretary for Diplomatic Security Michael Evanoff.

Hamza Bin Laden is believed to have spent years with his mother in Iran, where it is thought his wedding took place, while other reports suggest he may have lived in Pakistan, Afghanistan or Syria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya Marekani imeahidi kutoa zawadi ya hadi USD 1 Million kwa mtu au watu watakaosaidia kutoa taarifa za mahali alipo Hamza Bin Laden.

Hamza Bin Laden, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 30, ni mtoto kipenzi wa Marehemu Osama Bin Laden.

Inasemekana Osama Bin Laden alikuwa anamuandaa mwanaye, Hamza, kuwa kiongozi wa Kundi la Kigaidi la al-Qaeda, lililohusika na mashambulizi ya Septemba 11, 2001 huko Marekani.

Miaka ya hivi karibuni, Hamza ametoa ujumbe wa sauti na video akiwahamasisha wafuasi wake kuungana na kulipiza kisasi kifo cha baba yake.

Je, huu ni mwanzo wa kurudi tena kwa Kundi hatari la kigaidi la al-Qaeda? Na nini itakuwa hatima ya kipindi (kidogo) cha amani ambacho walau dunia ilikuwa inakipitia?

Source: US offers $1m reward for Bin Laden's son
 
Serikali ya Marekani imeahidi kutoa zawadi ya hadi USD 1 Million kwa mtu au watu watakaosaidia kutoa taarifa za mahali alipo Hamza Bin Laden.

Hamza Bin Laden, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 30, ni mtoto kipenzi cha Marehemu Osama Bin Laden.

Inasemekana Osama Bin Laden alikuwa anamuandaa mwanaye, Hamza, kuwa kiongozi wa Kundi la Kigaidi la Al Qaeda, lililohusika na mashambulizi ya Septemba 11, 2002 huko Marekani.

Je, huu ni mwanzo wa kurudi tena kwa Kundi hatari la kigaidi la Al qaeda? Na nini itakuwa hatima ya kipindi (kidogo) cha amani ambacho walau dunia ilikuwa inakipitia?

Kwa habari zaidi soma hapa.
US offers $1m reward for Bin Laden's son
Amani gani unayoisema iloyopo duniani wakati unaona yatokeayo huko Syria,Afaghan,Libya nk
Andaa Chai na Mkate uwe tu unatazama All Jazira na BBC kabla/baada ya kazi..
 
Jamaa wanataka jina LA Bin laden lisife kwahiyo ndio wanatuletea huu ujinga wao,wao wanajua kila kitu mpaka alipo huyo wanayemtafuta na watakuwa ndio wanadhamini kila kitu,watuache sisi huku tunataka kujua hela za vitambulisho vya wamachinga zinaelekezwa wapi ikiwa TRA sio wakusanyaji?
Nalog off
 
Kisa nini kafanyaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Katoto kadogo kanawasumbua..,
Kuna baadhi ya wavaa misuli wanadai eti Osama hakuuwawa ilikuwa gheresha...sasa sijui wanafahamu ukweli kuliko mtoto wake Osama

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati walipovamia Aboutabad.. hako katoto kalikuwa miaka 8 kamilala ubavuni..,Jee kwanini wasingekabeba na kukatupa BAHARINI !!! mmh ati leo kanawasumbua ..na kutoa dau (KODI za wananchi wao)

eti eeh?? dudus !!
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom