Mbaya zaidi ni kwamba wanajeshi 20 waliokufa ni wale waliokuwa kwenye Navy Seal team iliyomuua Osama.Pigo kubwa hili na sijui respond yao itakuwaje.
Yaap, waliokufa ni wanajeshi 31 kati ya hao 22 ni navy seals waliokuwa kwenye kikosi kilichomuua Osama.heee kumbe ndio move ilivyoo???kweli muosha HUOSHWA
Lazima walikuwa na uvamizi sehemu ungesikia tu Mulla Omar aliuwawa juzi sasa wamewahiwa wenyewe mara hii.Yaap, waliokufa ni wanajeshi 31 kati ya hao 22 ni navy seals waliokuwa kwenye kikosi kilichomuua Osama.
Walikuwa wametoka kwenye operation ya kummaliza kiongozi wa kutengeneza mabomu wa taliban.Lazima walikuwa na uvamizi sehemu ungesikia tu Mulla Omar aliuwawa juzi sasa wamewahiwa wenyewe mara hii.

Zaidi ya wanajeshi 30 wanasadikiwa kuuwawa baada ya helcopter waliokuwa wakisafifia kutunguliwa na wanamgambo wa TALIBAN,kwa hakika ni habar mbaya kwa wana NATO,inasadikia wanajesh wa kimarekan walikuwa ni zaidi ya 20

Ni ukweli ingawa marekani inadai ni ajali na ku masahihisho kidogo ni kwamba walikufa ni wanajeshi 38 na kati ya hao 31 ni wa marekani ambao kwa sehemu kubwa ni Special Force ambao kwa kama makomandoo hivyo hiyo ni hasara na aibu kubwa kwao na ndiyo maana wanasema ni ajaliya kawaida

Hii itapozo kifo cha Osama bin Laden maana wataliban nao watasheherekea vifo hivi.

safi sana nao wajue kuuwawa ni nini!