Marekani yamtishia China: Eti Marekani itaipigania Taiwan kama China ikitaka kuichukua kwa nguvu

Ninachofahamu "hatishiwi nyau". Marekani kudai kuwa kama China ikiamua kuichukua Taiwan kwa nguvu, iko tayari kuipigania taiwan kijeshi ni uongo na ndoto za mchana!! Marekani haina kabisa ubavu wa kujiingiza vitani na taifa lolote lenye nguvu ya nyuklia kama China!! Kwa asili Marekani ni waoga!! Wako tayari kupiga (mahali ambapo wana uhakika watapiga), lakini hawako tayari kupigana!! Marekani haiwezi kuipiga China bali watapigana na mshindi ni dakika tisini si kabla ya hapo.

Taiwan asipokuwa makini atavimbishwa kichwa na kuingizwa mkenge na mwisho wa siku watafanywa soko la kuuzia silaha za marekani kama ilivyo UKraine leo baada ya kuingizwa mkenge na Marekani. Ukraine iliahidiwa kuingizwa NATO fasta kwa hiyo URUSI HAITOTHUBUTU kuishambulia!! Matokeo yake kweli ukraine akaingiwa na kiburi kwa ahadi ya uongo na leo hii Ukraine inaachwa mahame!!

Lengo la marekani ni kuanzisha ugomvi ili iuze silaha!! Leo hii Ukraine wanakopeshwa dola bilioni 49, waje wazilipe na riba juu!! Halafu Marekani "inachekea tumboni" (ili isikukwaze) kwa kupata soko la silaha zake! Ninawahurumia Taiwan kama watavimba kichwa na kuendelea kuchezea shurubu za mchina!! Hawatajua mchina atavumilia hadi lini kiburi hiki cha Taiwan!! Siku ya siku kitanuka na Marekani hatasogeza pua yake zaidi ya kukuuzia silaha!

=======

US ready to use force to defend Taiwan​

President Joe Biden said Washington could be directly involved in conflict should China try to take the island by force

US President Joe Biden indicated on Monday that Washington is willing to use military force to defend Taiwan if necessary. Speaking at a joint press conference with Japanese Prime Minister Fumio Kishida in Tokyo, he said the US sees the idea of China “going in” with its troops as unacceptable.

When asked if the US would become directly involved in a conflict between China and Taiwan, including through the use of military force, Biden said “Yes,” adding that “it’s a commitment we made.” The US leader has previously said Washington respects the ‘One China’ policy, by which it recognizes that there is only one China led by Beijing.

Biden, however, maintained that China has no “jurisdiction to go in and use force to take over Taiwan.” The idea that the island nation “can be taken by force is just not appropriate. It will dislocate the whole region,” the US president added.

Marekani pia wanaishawishi MOLDOVA ikubali kupoke silaha za marekani ili eti kuilinda na tishio la urusi!! Watu wajiulize mbona nchi za magharibi zimepeleka silaha nyingi sana Ukraine toka 2014 hadi sasa lakini Ukraine imeshindwa kuzuia uvamizi wa Urusi wa kujitakia yenyewe.Tunapozungumza sasa, jimbo lote la Kherson linakaliwa na urusi, na asilimia 95% ya jimbo la DONBAS lisahakaliwa!! Msaada wa silaha zinazoangamizwa kila siku hauwasaidii kitu laki watalazimika kulipa maana si msaada wa bure bali ni mkopo!!

Chonde chonde Taiwan usikubali kuingizwa mkenge na Marekani!!!
Taiwan nayo sio mbe kwa technologia, china ajaribu tu
 
ushashiba ugali wako na ngadu...unakuja kuongea upupu....wenyewe wamesema wataipigania taiwani wewe uko zako ruvu unabisha aiseee😂

Kama ni vitisho mwambie China alianzishe..

Taiwan sio Ukr,kule kuna Makombora ya masafa marefu,ndege vita za kisasa na nyambizi za kuzidi.
 
Unaishi dunia ipi!! Juzi juzi tu marekani imeshindwa vita na Wataleban na kuikimbia Afghanistan hadi wakatelekeza silaha zao lukuki zikiwemo ndege na vifaru!! Wamepigana vita na Taliban kwa miaka 20 na wakashindwa vita na kukimbia!! Sasa hivi Taliban ndio wanatawala Afghanistan!!

Marekani walishindwa vita na kukimbia somalia miaka ya hivi karibuni. Askari wa marekani walikuwa wanakamatwa na kufungiwa bamba kwenye magari kisha kuburuzwa mitaani hadi wanakufa!! Marekani walikimbia!!

Miaka ya karibuni Marekani walishindwa vita nchini Syria! Walikuwa wanapigana sambamba na waasi wa serikali ya rais Asaad wa Syria.

Lengo lilikuwa ni kumwondoa madarakani rais Asaad!! Walishindwa vita baada ya Mrusi kuingilia kati nchini Syria na kuwasambaratisha wapinzani.

Juzi juzi pia Marekani ilishindwa nchin Venezuela katika harakati za kumpindua Rais Maduro wa Venezuela!!
Na Leo hii,wameshindwa kumlinda Zelensky,walichotaka kumsaidia TU ni kutaka kumtorosha aende akaishi uhamishoni.
Zelensky akakataa.
Hii ni baada ya Urusi kuingiza jeshi.
 
US, kunakitu hakieleweki juu ya uwezowake wa kivita ukilinganisha na Russia, ama China.

Kwanza hawajawahi kuwa na magwaride ya kuonyesha silahazao kama China na Russia,kwahiyo taratibu watu wanashindwa kuamini kamakweli anazo silaha za kutisha kama wenzake.

US amekuwa mtu wa mikwara mbuzi pale anapo onyeshwa ubabe wa wazi na Russia.
Matukio mawili yanaonyesha US wana waogopa sana Russia.
1, Russia wameweza kumlinda asadi kutoka kwa vibaraka wa US kule Syria.

Kumbuka kuna umbali wakutosha kutoka Mosco mbaka Syria lakini Urusi wameweza kusafiri umbali huo bila vikwazo nakwenda kuzuia mipango ya US nchini Syria.

2, Urusi pia wameweza kumzuiya US asiwasumbue Venezuela.
Kutoka Venezuela kwenda USA ni karibu sana, lakini Russia wameweza kutoka Mosco, maelf ya kilometa nawamekatiza sebuleni kwa US kwenye bahari ya Pacific nakwenda kuzuiya mipango ya US nchini Venezuela.
Na sasa tunaona kinacho endelea Ukraine, US na washirika wake wana piga mdomotu,wakati Urusi anapiga kazi na haonyeshi kujali chochote kutoka US wala EU.

Mimi sio mshabiki wa vita napenda amani,na siungi mkono uvamizi wa Russia nchini Ukrain.
Kwa hiki ulichokiandika Pro USA watasema TU wewe ni ProRussia
 
Ninachofahamu "hatishiwi nyau". Marekani kudai kuwa kama China ikiamua kuichukua Taiwan kwa nguvu, iko tayari kuipigania taiwan kijeshi ni uongo na ndoto za mchana!! Marekani haina kabisa ubavu wa kujiingiza vitani na taifa lolote lenye nguvu ya nyuklia kama China!! Kwa asili Marekani ni waoga!! Wako tayari kupiga (mahali ambapo wana uhakika watapiga), lakini hawako tayari kupigana!! Marekani haiwezi kuipiga China bali watapigana na mshindi ni dakika tisini si kabla ya hapo.

Taiwan asipokuwa makini atavimbishwa kichwa na kuingizwa mkenge na mwisho wa siku watafanywa soko la kuuzia silaha za marekani kama ilivyo UKraine leo baada ya kuingizwa mkenge na Marekani. Ukraine iliahidiwa kuingizwa NATO fasta kwa hiyo URUSI HAITOTHUBUTU kuishambulia!! Matokeo yake kweli ukraine akaingiwa na kiburi kwa ahadi ya uongo na leo hii Ukraine inaachwa mahame!!

Lengo la marekani ni kuanzisha ugomvi ili iuze silaha!! Leo hii Ukraine wanakopeshwa dola bilioni 49, waje wazilipe na riba juu!! Halafu Marekani "inachekea tumboni" (ili isikukwaze) kwa kupata soko la silaha zake! Ninawahurumia Taiwan kama watavimba kichwa na kuendelea kuchezea shurubu za mchina!! Hawatajua mchina atavumilia hadi lini kiburi hiki cha Taiwan!! Siku ya siku kitanuka na Marekani hatasogeza pua yake zaidi ya kukuuzia silaha!

=======

US ready to use force to defend Taiwan​

President Joe Biden said Washington could be directly involved in conflict should China try to take the island by force

US President Joe Biden indicated on Monday that Washington is willing to use military force to defend Taiwan if necessary. Speaking at a joint press conference with Japanese Prime Minister Fumio Kishida in Tokyo, he said the US sees the idea of China “going in” with its troops as unacceptable.

When asked if the US would become directly involved in a conflict between China and Taiwan, including through the use of military force, Biden said “Yes,” adding that “it’s a commitment we made.” The US leader has previously said Washington respects the ‘One China’ policy, by which it recognizes that there is only one China led by Beijing.

Biden, however, maintained that China has no “jurisdiction to go in and use force to take over Taiwan.” The idea that the island nation “can be taken by force is just not appropriate. It will dislocate the whole region,” the US president added.

Marekani pia wanaishawishi MOLDOVA ikubali kupoke silaha za marekani ili eti kuilinda na tishio la urusi!! Watu wajiulize mbona nchi za magharibi zimepeleka silaha nyingi sana Ukraine toka 2014 hadi sasa lakini Ukraine imeshindwa kuzuia uvamizi wa Urusi wa kujitakia yenyewe.Tunapozungumza sasa, jimbo lote la Kherson linakaliwa na urusi, na asilimia 95% ya jimbo la DONBAS lisahakaliwa!! Msaada wa silaha zinazoangamizwa kila siku hauwasaidii kitu laki watalazimika kulipa maana si msaada wa bure bali ni mkopo!!

Chonde chonde Taiwan usikubali kuingizwa mkenge na Marekani!!!
Unaelewa nini wewe...kaa chini ule ugali wako n mlenda ukalale maneno meeengi kama mwanamke wa kizaramo kafumaniwa
 
Umepaniki sana tena Sana kama Marekani size yake ni Somalia mwisho hapo kwa Russia tunahesabu saa moja tu kabla ya vita kuisha labda mmarekani apigane na China
Kumbuka Ukraine Russia huyohuyo anatolewa mavi kila siku analilia Russia usa asimsaidie Ukraine na usa anamsaidia Ukraine waziwazi kama Russia kidume arushe hata jiwe kwenye makambi ya jeshi ambayo yamemzunguka pande zote na masaa 5 yaliopita usa ameruhusu mzigo wa long range upelekwe Ukraine ....huyo ndo usa wengine vitobo
 
Back
Top Bottom