Marekani yakumbwa na moto mkubwa

Drax001

JF-Expert Member
Aug 22, 2017
439
221
Karibu watu 27,000 walilazimishwa kukimbia manyumba yao usiku wa manane wakati moto mkubwa ulisamba kwa haraka kusini kwa jimbo la Carlifonia.
Watu wamehamishwa kwa lazima kutoka makwao katika miji ya Ventura na Santa Paula karibu kilomita 115 Kaskazini mwa Los Angeles.
Wazima moto walionya kuwa moto huo ulikuwa unasambaa kwa haraka na hawangeweza kuuzima.
Ukichochewa na upepo mkali moto uliosambaa ukubwa wa maelfu ya ekari kwa saa chache.
Gavana wa California Jerry Brown ametangaza hali ya tahadhari katika kaunti ya Ventura akiihaidi kukukabili moto huo kwa vyoyote vile.
Mapema iliripotiwa kuwa mtu mmoja alifariki kwenye ajali ya barabarani akijaribu kuukimbia moto huo, lakini idara ya wazima moto kaunti ya Ventura imesema kuwa hakuna mtu aliyepatikana kwenye gari hilo lilikuwa limepinduka.
Maafisa walisema kuwa mzima moto alijeruhiwa. Pia walisema kwa nyumba 150 zilikuwa zimeharibiwa na watu 260,000 walikuwa hawana umeme.
 
Marekani wanajitahidi sana kujikinga na kupambana na majanga pale yanapotokea kwao au kutoa misaada kwa wengine. Ingekuwa Afrika huku ungesikia maelfu ya maiti hasa za wanawake na watoto zimesambaa eneo la tukio na hakuna hata anayejali; akijali sana ni kurushiana mipira mara ooh imesababishwa na wapinzani. Mungu awape subira na ustahimilivu.
 
Karibu watu 27,000 walilazimishwa kukimbia manyumba yao usiku wa manane wakati moto mkubwa ulisamba kwa haraka kusini kwa jimbo la Carlifonia.
Watu wamehamishwa kwa lazima kutoka makwao katika miji ya Ventura na Santa Paula karibu kilomita 115 Kaskazini mwa Los Angeles.
Wazima moto walionya kuwa moto huo ulikuwa unasambaa kwa haraka na hawangeweza kuuzima.
Ukichochewa na upepo mkali moto uliosambaa ukubwa wa maelfu ya ekari kwa saa chache.
Gavana wa California Jerry Brown ametangaza hali ya tahadhari katika kaunti ya Ventura akiihaidi kukukabili moto huo kwa vyoyote vile.
Mapema iliripotiwa kuwa mtu mmoja alifariki kwenye ajali ya barabarani akijaribu kuukimbia moto huo, lakini idara ya wazima moto kaunti ya Ventura imesema kuwa hakuna mtu aliyepatikana kwenye gari hilo lilikuwa limepinduka.
Maafisa walisema kuwa mzima moto alijeruhiwa. Pia walisema kwa nyumba 150 zilikuwa zimeharibiwa na watu 260,000 walikuwa hawana umeme.
Wamarekani ni bora wakastuka na kumrudia Mungu.This is Satan on the rampage.Wake up America.
 
Kivipi Mkuu? Kwamba wamemwacha Mungu kuliko binadamu wote ndio maana wanapata majanga au?
Mkuu Marekani ndio mama wa uovu wote duniani.Look back you will see Hollywood,Disney,Macdonald's,
Monsanto, war machines to kill humans and other technologies which are literally against the very existence and morality of humanity.

America has fought more wars than any nation in the world.The Balkans,Vietnam,Libya,Iraq,Syria and is now involved in Yemen,Afghanistan,
Pakistan etc.etc.What is going on in Yemen is a shame to humanity.Just today America has recognized Jerusalem as the eternal capital of Jesurasem.This is yet another signal for Israel to start murdering Palestians and for the Illuminati entities to bring the Antichrist to the holy city.

Look at what they are doing in the Korean Peninsula, very stupid indeed.They are simply begging for war! America has overthrown a countless number of governments worldwide unlawfully for economic gain and is actually the most terrorist nation in the globe.America is the home of terrorism.The evil actions of America are uncountable friend! Mengine ya gizani huwezi hata kuyazungumzia,it is simply horrible!

America is an
extremely evil nation and is paying for it's evil actions.We have not yet seen it all,more is yet to come.The nation is headed for collapse.Remember Hiroshima?

The devil is at home in America friend and is now on the rampage.
 
Back
Top Bottom