Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,012
- 112,674
Hilary alishindwa kwa sababu hakuhamasisha watu wake kupiga kura, na wengi hawakupiga kura kwa kuamini kuwa ama atashinda tu au kwa vile alionyesha kuwachukulia for granted, huku wakiwa na=bado na hasira za Sanders kushindwa primary. Eti Hilary akaenda kupiga kampeini Arizona na Texas na kuacha kwenda Wisconsin na Michigan, na wala hakumtumia Sanders katika kampeini zake...
Haya, mimi sina maneno mengi ya kusema.
Ila kama unadhani Democrats hawakujitokeza kwa wingi kupiga kura, utakuwa unajidanganya.
Hata Republicans wapo wengi tu wataojitokeza kupiga kura.
Tukutane siku ya uchaguzi....